Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatukuenda AFCON coz we didn't play the qualifiers. If we did, hatungeshindwa kupata ushindi dhidi ya watu kumi
Sasa hio inatuhusu sisi?? Shida zenu pambaneni nazo bora ya sisi tumefika makundi AFCON, sasa hvi tuna team mbili club bingwa africa simba na yanga zipo makundi na mwaka jana simba ilifika robo na yanga imefika fainal shirikisho africa

Nyinyi mulifika wapi kileleni manake uwezo wakupigana miti munao 😅😅😅😅😅
 
Nani alikudanganya sport pesa inamilikiwa na kenya??😅😅😅😅
Jinyonge😂😂

1705953846665.png
 
Ohhh american and bulgarian wanafanya nn kwenye sport pesa ??😅😅😅😅😅

Au pia ni wakenya 😅😅😅😅

Even safaricom is not urs au pia unabisha ??
Huoni wakenya hapo? Alafu combined Kenyans shares are more than 50%, meaning Sportpesa is a Kenyan company going by the rule of shareholding.

1705954341287.png
 
Mbona ukipiga mahesabu kama hisa nyingi sio zenu?
Ila tuache wao sio main sponsor wa NBC premier league wadhamini wakuu tushakutajia.
Pia tambua ukiweka nembo ya biashara yako katika jezi za klabu ya Tanzania unatangaza sana biashara yako.
Hujui mpira, hujui hesabu. What do you know?
 
Namba 8 Arsenal kichaa wewe.
Chelsea ya 40 kwasasa katika ranking ya sasa labda usubiri ranking mpya.
Arguing with an idiot is very stressful. Umesema Chelsea is number 40 in the latest EUFA ranking?😂😂🤣😂

Screenshot_20240122-230510_1.jpg

Latest ranking of 2023/2024
Screenshot_20240122-231000_1.jpg
 
Mbona ukipiga mahesabu kama hisa nyingi sio zenu?
Ila tuache wao sio main sponsor wa NBC premier league wadhamini wakuu tushakutajia.
Pia tambua ukiweka nembo ya biashara yako katika jezi za klabu ya Tanzania unatangaza sana biashara yako.
Yani ni mjinga anafurahia kitu gani wakat tanzania kuna betting companies zaidi ya 20 na zote zina chuana kweli kweli kasahau kama mbet kamtoa sport pesa kwenye ku sponser club ya simba 😅😅😅😅
 
Huoni wakenya hapo? Alafu combined Kenyans shares are more than 50%, meaning Sportpesa is a Kenyan company going by the rule of shareholding.

View attachment 2879921
Nimekuuliza swali bulgarian na americans wanafanya nn sport pesa 😅😅😅😅

Jibu rahisi ni kua sio yenu asilimia 100 hata safaricom pia sio yenu na munamiliki 35% nyinyi 😅😅😅😅😅😅
 
Yani ni mjinga anafurahia kitu gani wakat tanzania kuna betting companies zaidi ya 20 na zote zina chuana kweli kweli kasahau kama mbet kamtoa sport pesa kwenye ku sponser club ya simba 😅😅😅😅
Bado tuko hapa chokora.

Kenyans hold 53% shares in Sportpesa.

1705954596183.png
 
Nimekuuliza swali bulgarian na americans wanafanya nn sport pesa 😅😅😅😅

Jibu rahisi ni kua sio yenu asilimia 100 hata safaricom pia sio yenu na munamiliki 35% nyinyi 😅😅😅😅😅😅
They have shares, just like Kenyans also have shares in Tanzanian government.
 
Back
Top Bottom