Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Buy Kenya Build Kenya.

Dreamline Express- Theater of Dreams
1705861003568.jpg
 
Hao jamaa ni wivu unawasumbua 😂😂😂 they wanna see us do good but never better than them. Hao ni wachawi wetu, roho zinawauma wakiona tunawapita. 😂😂😂😂
Are you trying to insinuate you (Tanzanians) want to see us do better than you?
 
Hakuna Cha wivu hapa. I am simply saying facts. Taja kitu chochote nilichotaja ambacho si ukweli.
Fact gani unaongea taifa stars imekusanya pesa nyingi tu kuingia makundi nyinyi mumekusanya nn zaidi ya njaa na maji ya sewage kutoka kibera??😅😅😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom