Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What's Tanzania good at 😂😂

View attachment 2879756
Maskini weee. Hata kwenye Bonanza Mlandege waliifunza Simba

1705941901069.png
 
Ebu tuonyeshe bus yenye Simba walinunua na Pesa yao😂😂
basi wewe weka basi ya club ya tanzania yenye neno pembeni msaada nifunge acount sasa ivi hamna aibu kuna namna club na kampuni yenye kutaka kujitangaza wanaingia makubaliano na club iwe ya magari ama ndege ndipo huwa na mikataba yao ya kujitangaza na ukomo wake sasa nyie hamna hicho ni mmesaidiwa msaada huo boss.
 
Basi ya Simba ni msaada.
 
Nimeipenda design, lita kuwa zuri sana hakika. Nimependa hili eneo la exit/entry na sio kama ilivyo kwenye terminal III.

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1745196176075333679?s=20

Yap mkuu wkt wa designing hawa wafaransa ambition yao kubwa ilikuwa ni kubeat Jomo Kenyatta TBs na TB3 mara nyingi walikuwa wanajitapa Terminal 2 ndo itayokuwa terminal building nzuri Eastern Africa na Central, so walijipa muda mwingi wa reaserch I bet ni kweli nimeona 3D yake ni noma sana ndani ndo balaa kbs! ATCL ametengewa lounge yake na ameshirikishwa kwenye kila hatua, pia kuna mradi wa 4 Star Hotel na Commercial complex vyote vinaweza vikaanza mwaka huu kwa pamoja, Hotel itakuwa pale kwenye eneo la wazi kati ya puma filling station na VIP terminal wakati Commercial Complex (shopping mall) itakuwa mbele ya TB3 parking ya magari kwa ajili ya huduma hizu zitakuwa mbele zikiungana na Nyerere Road kwa ajili ya access ya watu wote wasafiri na wasio wasafiri.
 
Back
Top Bottom