Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya always inspires Tanzania. We are their role model, mentor, and big brother ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

If I talk I'll be in big problem.๐Ÿ˜‚
View attachment 2879861View attachment 2879867View attachment 2879868
Mpaka CCM iko kwenye magari yenu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
20240122_215907.jpg

Screenshots_2024-01-22-22-01-18.png
 
Fact gani unaongea taifa stars imekusanya pesa nyingi tu kuingia makundi nyinyi mumekusanya nn zaidi ya njaa na maji ya sewage kutoka kibera??๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Of course you had to change gear and mention Kibera as usual. Typical of bongolalas wakishashindwa kwenye hoja
 
USA ipi kijana wangu? Maneno ya Biden ndiyo policy ya USA?

Nimekwambia. Jaribu kujifunza kwanza kabla ya kuonesha namna gani usivyojua mambo hapa.

View attachment 2879480
Ndio maana nimekwambia kuwa una ujuaji mwingi usiofaa unakupoteza unakua na mtazamo mgando.
Kuna sera za Taifa na kuna sera za kiongozi juu ya masuala tofauti ya kidiplomasia.
Hata Trump alikua na sera zake juu ya China ambazo hizo sera zilikua tofauti na Barrak Obama juu ya China.
Unatakiwa ujifunze kuhusu diplomasia kiundani bado una mawazo mgando.
Biden alipeleka mpaka silaha Taiwan na alimtuma Hillary Clinton pia ipeleke ujumbe kuwa inaheshima kujitawala kwa Taiwan.
Labda hujui sasa hivi siasa za dunia zinaendeshwaje.
Viongozi huunga mkono viongozi wingine kwa kulinda interest zao mahali pale.
Kuna interest kubwa US akimtetea Taiwan kujitawala.
Hilo sidhani kama unalijua.
 
Siku hizi buses za Tanzania their number plates ni KDM? I didn't know that๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Unajitia uchizi au sio kati ya sisi na nyinyi nani anafatilia mambo ya mwenzie??๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kwa katiba ipi? Na kwa utaratibu upi?
Kwani inahitaji katiba nchi kujitenga??
Kwani Eritrea ilipojitoa toka Ethiopia ilitumia katiba?
Sudan ilipojigawa ilitumia katiba??
Kuna sababu za ukabila toka 1986 akiwa anatawala Said Berre zilizofanya Somaliland kujihengua.
Na mpaka sasa bado kuna ukabila kati yao unadhani nchi itastawi kwa kuungana na upande unaoendekeza ukabila??
Bro we siasa hazikufai.
 
Magufuli is a person and not a culture. Nyinyi mnajaribu kucopy Matatu culture, the only thing limiting you is that hamjui kuchora๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
Ohh na CCM ni nini?? Kumbe munaijua CCM na munaipenda ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Back
Top Bottom