NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,081
- 19,314
So you judge the beauty of a building by the color blue? No wonder mnafikiria kama kondoo nyinyi wote.Ugly Building. The building is not blue like this
View attachment 2878606
So you judge the beauty of a building by the color blue? No wonder mnafikiria kama kondoo nyinyi wote.Ugly Building. The building is not blue like this
View attachment 2878606
Hicho ni cha Tanzania. Kenya hatuna huo upuzi. No wonder kusoma article inayoongelea Uganda mnashindwa mnadhani ni Kenya.Kingereza cha kenya sasa.
Fashoni, edukeshoni, 😀 😀 😀
Huyo mama maji taka yamemuingia hadi papuchini. 😂 😂Hii yenu ni worse.
![]()
NdioIs there any regulations as pertains to number of foreign players allowed in your teams like they do in England EPL…
Kwahyo unaona kupanda fuso ni bora kuliko hyo coaster?Hizi matatu zao za 2001 huwa wanazitoa wapi ???
Hii ni mara ya pili sasa unasema watoto kufanya birthday kwenye private jet, ni nani hao, au unaweza kutupa hiyo video hapa?Taifa stars inaomba mchango ?? Watu wanaiba pesa mpaka wengine watoto wao wanafanya birthday kwenye private jet hewani alaf tunaomba mchango ???
Kuna shida sehemu niamini mm🤣🤣🤣🤣
Hebu tuma voice note ya pronunciation ya education, international etc 😀 😀 😀 😀Hicho ni cha Tanzania. Kenya hatuna huo upuzi. No wonder kusoma article inayoongelea Uganda mnashindwa mnadhani ni Kenya.
Retype this sentence in grammatically correct English and you'll get your voice note.😃😃Hebu tuma voice note ya pronunciation ya education, international etc 😀 😀 😀 😀
Huwa mnamatamshi mabovu sana ya kiingereza kwasababu ya lafudhi nzenu nzito. Tena ukimkuta Mkikuyu, kuna shida nyingine ya kutamka maneno yenye 'th', mfano 'think' atasema 'dhink'. Maneno yenye 'or', mfano 'work' au 'word', yanatamkwa kwa 'ae' sound, siyo 'a' sound kama Wakenya mnavyotamka.Hicho ni cha Tanzania. Kenya hatuna huo upuzi. No wonder kusoma article inayoongelea Uganda mnashindwa mnadhani ni Kenya.
Niliuliza zile pesa zilichangishwa zilienda wapi?🤣Dah Taifa stars hapana..
Hebu tuma tuone. Mnaongea broken English halafu mnajiita wazungu. 😀 😀 😀Retype this sentence in grammatically correct English and you'll get your voice note.😃😃
Na mm siku ya kwanza niliuliza pesa zinachangishwa za nn na zinakwenda wapi?Hii nchi nishasema siku zote ili tuweze kwenye lolote ni lazima tuitoe CCM madarakani!!
Eti mamilioni ya pesa yanachangwa kwa ajili ya kugharamia utalii wa Taifa stars walioenda kuponda Ivory coast!!! Badala hizo pesa zikatumike kujenga Academies walau mikoa miwili tu hapa nchini,wao wanatafuta sifa eti wanaisaidia stars
Huo upumbavu aliofanya Majaliwa pamoja na wale Mashoga kina Baba levo ni ujinga wa hali ya juu sana,yani ni kama vile Mtoto hujamlea halafu unamchangia pesa aende akasome kisa tu kafaulu
Akili za watu wa CCM ni matako sana
Hicho ni cha Tanzania. Kenya hatuna huo upuzi. No wonder kusoma article inayoongelea Uganda mnashindwa mnadhani ni Kenya.
Tuna league bora sana ya 5 africa lakini shida yetu team ya taifa haina muunganiko mzuri, mbona huizungumzii south africa iko top 4 kwenye league lakini ilifungwa na mali?Si mko na ligi Bora kuwashinda?
To 4 in Africa 😂😂
Mbona hatuoni matunda yake?
Ama mmejaza foreigners tupuuu mkasahau kuEMPOWER wazawa!!!
Ingia twitter tu bro utaziona 😅😅😅😅Hii ni mara ya pili sasa unasema watoto kufanya birthday kwenye private jet, ni nani hao, au unaweza kutupa hiyo video hapa?
Kenyan Language is not EnglishFirst of all, it is a non-existent building. Stop giving airtime to non-existent things. 😂