Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti mgunda nae ni kocha wakimataifa hii nchi inavichekesho sana 🤣🤣🤣🤣🤣 anapewa team akapambane na watu wenye kazi zao, angalia sub za kocha tu wa zambia utaona kabisa ni kocha mwenye mbinu anaejua kazi zake
Kitu kilichoiua Taifa Star ni sub.
Yaani unamtoa Himid Mao unamwingiza Mudathir?
Mudathir ni attacking midfield.

Unamtoa Kibu Denis unamwingiza Mwobwa. Wakati Kibu alikuwa anasumbua mabeki.

Walipo toka tu hao Zambia wakapata uhai.

Stupid coach. Anataka watanzania wote wacheze.
 
Wanga kama wewe ndio mnairoga na Kuombea timu ishinde kisa chuki binafsi Kwa Samia eti credits zitaenda kwake.

Shinyanga Huwa mnatiwa kiberiti
Acheni kushirikisha siasa kwenye michezo,wewe mwenyewe tuambie ni lini umeona kule afcon kuna nchi inapeperusha picha ya rais wake zaidi ya hili linchi lenu,soka ahitaji siasa wala uchawa
 
Forget Africa… Kenya has won world titles in 3 different Sports.. No other African nation can claim that… Name any sport Bongo has won in the continent, forget the world….am waiting..🤣🤣
Boxing Tanzania imechukua mikanda ya dunia mara nyingi tu.
Pia hata sisi katika michezo mingine tunazo rekodi mathalan riadha Filbert Bay alituwakilisha vema kipindi kile.
Ila kimpira ninyi Kenya mmefika wapi???
 

View: https://twitter.com/WizarayaUC/status/1749336676738957809

GEbkadGXsAAnBzj
 
Huyo Elsisi ni mnafiki tu.
Ameshindwa kusaidia Palestina na anashea nao border aje kusumbuka na Somalia.
Historia ya Egypt na Palestine huijui kijana wangu. Ungekaa kimya, ungeonekana wa maana.

Existence ya Gaza ni because of Egypt.

Hiyo ndiyo international politics. Waulize Ethiopia kwanini bwawa lao linatakiwa kujazwa taratibu mpaka miaka 20+. Egypt siyo ya kuchezea
 
Back
Top Bottom