Hawa wakora kwa jinsi wanavyo endesha nchi yao kimagumashi na data feki iko siku watakuja kutuelemea huku kwetu maana naona exodus kubwa sana inakuja hapo mbeleni inabidi tujenge ukuta mapema kwenye border hii ya kaskazini.baada ya bakuli la dawa za tb sasa za cancer!