Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Serikali ilisema zinahitajika 10bln ,na hiyo michango ni sehemu ya ku source pesa.

Caf wametoa 2.5bln tuu
2.5b ni ndogo sana au sio??😅😅😅😅

10b kwa ajili ya nn??🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
2.5b ni ndogo sana au sio??😅😅😅😅

10b kwa ajili ya nn??🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndio nasema Kwa Sasa michango ya timu za Taifa tutakuwa tunaweka kwenye account Yako na wewe ndio utakuwa mtunza kibubu 😆😆
 
Ndio nasema Kwa Sasa michango ya timu za Taifa tutakuwa tunaweka kwenye account Yako na wewe ndio utakuwa mtunza kibubu 😆😆
Taifa stars inaomba mchango ?? Watu wanaiba pesa mpaka wengine watoto wao wanafanya birthday kwenye private jet hewani alaf tunaomba mchango ???

Kuna shida sehemu niamini mm🤣🤣🤣🤣
 
Kenya hua inapeleka wapi mikopo.Ni vile hujatembea Tanzania lakini Northern Tanzania,Southern Highland Estern Region kuna hatua kubwa imepigiwa miundo mbinu imeboreshwa sana.Kenya uchumi uko western Kenya tu
Kwani Nairobi siku hizi ni Western Kenya? Mombasa ni Western Kenya? Kiambu ni Western Kenya? Meru ni Western Kenya?
 
Hizi hasira zako ungepeleka AFCON saa hii Taifa Stars wangekuwa na 6 points and top of the table 😂😂🤣🤣
Point 6 ukimaanisha na kumfumga morocco aliefika nusu fainali kombe la dunia ???
 
Kenya hua inapeleka wapi mikopo.Ni vile hujatembea Tanzania lakini Northern Tanzania,Southern Highland Estern Region kuna hatua kubwa imepigiwa miundo mbinu imeboreshwa sana.Kenya uchumi uko western Kenya tu
wewe unatoka wapi nawe? Uchumi upi huo Western kenya? Au Nairobi na Mombasa zimekuwa western saahii?
 
Back
Top Bottom