ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,489
- 88,630
Ndio tumeshataka hivyo,fanyeni mnachowezaHilo siwezi kusema .
Ila mtake msitake Somaliland ishakataa kuwa sehem ya Somalia ina bendera yake na sarafu yake mwajisumbua bure tu.
Ndio tumeshataka hivyo,fanyeni mnachowezaHilo siwezi kusema .
Ila mtake msitake Somaliland ishakataa kuwa sehem ya Somalia ina bendera yake na sarafu yake mwajisumbua bure tu.
Aawapii ndani ya Ethiopia yenyewe kuna vita inaendelea huyu Waziri wao atakipata anachokitafuta soon!
Hilo siwezi kusema .
Ila mtake msitake Somaliland ishakataa kuwa sehem ya Somalia ina bendera yake na sarafu yake mwajisumbua bure tu.
We ndio huijui Bro.Historia ya Egypt na Palestine huijui kijana wangu. Ungekaa kimya, ungeonekana wa maana.
Existence ya Gaza ni because of Egypt.
Hiyo ndiyo international politics. Waulize Ethiopia kwanini bwawa lao linatakiwa kujazwa taratibu mpaka miaka 20+. Egypt siyo ya kuchezea
Suala la Ethiopia kuweka au kutokuweka base lingine na suala la Somaliland kuwa ndani ya Somalia ni kitu kingine.Ndio tumeshataka hivyo,fanyeni mnachoweza
Nimekwambia ni Suala la mda tuu Kwa Somalia ku stabilize ikuze military zake ita take over hapo Somaliland kama Ethiopia walivyofanya kule Tigray.Suala la Ethiopia kuweka au kutokuweka base lingine na suala la Somaliland kuwa ndani ya Somalia ni kitu kingine.
Aya tuseme Ethiopia haitaweza kuweka naval base Somaliland,je Somaliland ndio itakubali kuwa ndani ya Somalia????
Embu nipe jibu?
Our league is not overrated, but full of foreigners which isn't good for our soccer development. Simba and Yanga squads most players are foreigners, Congolese,Zambians and few west africans.Based on your club performances especially Yanga and Simba, I expected a better performance at least against Zambia… am sure Yanga and Simba are superior to any clubs in Zambia…so now I believe your league in overrated…let’s see what you do against DRC… a nation with a civil war… no more excuses..🤣🤣
Sasa unaanza kuzungumzia mtu unaachana na sera za nchi? Unaijua Sera ya Egypt kuhusu Palestine? Wewe unaongelea miaka ya juzi juzi tu 1973? Unaijua mikataba Suez?We ndio huijui Bro.
Naijua kuliko uijuavyo wewe.
Na mimi nimemzungumzia AbdulFatah Elsisi sijazungumzia Egypt yote.
Namzungumzia Elsisi ambae ameweka hapo Madarakani na USA kwa kufadhiliwa kumpindua Mohammed Morsi ambae alikua akiwatetea Palestina waziwazi.
Ukizungumzia ukombozi wa Gaza unamzungumzia Anwar Saddat ambae aliikomboa Sinai 1973.
Viongozi wa Egypt walio na misimamo walikua watatu tu Gamel Abdul Nassee,Anwar Saddat na Mohammed Morsi ambao wakisema tunatetea tunatetea kweli.
Sio huyo Elsisi.
NASISITIZA NAJUA KULIKO WEWE.
Tigray haikuwahi kuwa semi autonomous kama Somaliland.Nimekwambia ni Suala la mda tuu Kwa Somalia ku stabilize ikuze military zake ita take over hapo Somaliland kama Ethiopia walivyofanya kule Tigray.
Somalia ilikuwa imewekewa marufuku ya Silaha Sasa zimeondolewa so jiandaeni kisaikolojia hapo Hargeisa
Unahamahama sana.Sasa unaanza kuzungumzia mtu unaachana na sera za nchi? Unaijua Sera ya Egypt kuhusu Palestine? Wewe unaongelea miaka ya juzi juzi tu 1973? Unaijua mikataba Suez?
Ungeanzia kwanza huko ndio uje huku.
Nimekuuliza unajua kwanini Ethiopia hawawezi kulijaza bwawa lao kwa haraka haraka? Chokochoko wanayoifanya huko Somalia inampatia Mwanya Egypt kutengeneza proxy conflict.
Ethiopia nawasihi wasijiingize kishwa kichwa kwenye conflict hii.
Egypt wanafahamika kwa proxy war.
Unajua maana ya Mamruki? Ukielewa maana yake hapa utawauliza Mongols namna walivyopigwa.
Ethiopia kafanya move yenye madhara makubwa sana kwakwe. Kumbuka Ethiopia is a landlocked
Ngoja twende taratibu. Maana maswali yangu unayakwepa.Unahamahama sana.
Egypt sera za kiongozi husika ndio sera za nchi.
Huwa sera zao hazifanani.
Ingekua sera ni moja Anwar Saddat asingeuliwa na kupinduliwa na kiongozi aliemfuata na Morsi asingepinduliwa na Elsisi.
Hao hao viongozi wa juzi ndio wanaotajwa na Egypt wenyewe kuwa ndio viongozi walio na misimamo toka Egypt iwe taifa huru.
Unamzungumzia Elsisi ambae Israel mwaka jana imeua askari wake tisa ndani ya mpaka wake wa Sinai na hajafanya kitu??
Egypt haijai kuwa na Sera moja.
Unaizungumzia Mamluk dola ama mamluki kibaraka?
Kama kuhusu Mamluk dola Ottoman Empire ndio ilomsaidia Egypt kumpiga Mongolia.EGYPT HAKUWA NA UBAVU WA KUPIGANA NA MONGOL.
Katafute sababu zilizoifanya Mamluk Sultanate ikubali kuwa pamoja mwishowe chini ya utawala wa Ottoman.
Proxy war muachieni Iran huko mwenye vibaraka takriban middle east yote mpaka Yemen sio Egypt.
Angekua Morsi ningesema pangenuka ila sio huyo Elsisi.
Hilo sikuwahi kulifuatilia na sina ujuzi nalo.Ngoja twende taratibu. Maana maswali yangu unayakwepa.
Kwanini Ethiopia hawawezi kulijaza bwawa lao la umeme haraka haraka na litachukua zaidi ya miaka 20 kulijaza?
Hayi yenu ya kusema hev instead of have ama wek instead of work ndio mazuri? The only original English accent is from the Englishmen themselves, hizi zingine zote ni Bonoko. Usiangalie yenu ukasema ni Bora kuliko nyingine wakati zote ni Bonoko. What matters is the grammar of which Tanzania is the worst in all English speaking countries.Huwa mnamatamshi mabovu sana ya kiingereza kwasababu ya lafudhi nzenu nzito. Tena ukimkuta Mkikuyu, kuna shida nyingine ya kutamka maneno yenye 'th', mfano 'think' atasema 'dhink'. Maneno yenye 'or', mfano 'work' au 'word', yanatamkwa kwa 'ae' sound, siyo 'a' sound kama Wakenya mnavyotamka.
Je unaijua hiiUnahamahama sana.
Egypt sera za kiongozi husika ndio sera za nchi.
Huwa sera zao hazifanani.
Ingekua sera ni moja Anwar Saddat asingeuliwa na kupinduliwa na kiongozi aliemfuata na Morsi asingepinduliwa na Elsisi.
Hao hao viongozi wa juzi ndio wanaotajwa na Egypt wenyewe kuwa ndio viongozi walio na misimamo toka Egypt iwe taifa huru.
Unamzungumzia Elsisi ambae Israel mwaka jana imeua askari wake tisa ndani ya mpaka wake wa Sinai na hajafanya kitu??
Egypt haijai kuwa na Sera moja.
Unaizungumzia Mamluk dola ama mamluki kibaraka?
Kama kuhusu Mamluk dola, Ottoman Empire ndio ilomsaidia Egypt kumpiga Mongolia.EGYPT HAKUWA NA UBAVU WA KUPIGANA NA MONGOL.
Katafute sababu zilizoifanya Mamluk Sultanate ikubali kuwa pamoja mwishowe chini ya utawala wa Ottoman.
Proxy war muachieni Iran huko mwenye vibaraka takriban middle east yote mpaka Yemen sio Egypt.
Angekua Morsi ningesema pangenuka ila sio huyo Elsisi.
Ndio maana ninakwambia huijui Geopolitics. Unaongea vitu kwa hisia tu.Hilo sikuwahi kulifuatilia na sina ujuzi nalo.
Maana sikuliona kuwa na mashiko kwangu .
Kwahiyo English ya Kenya ni Bonoko?Hayi yenu ya kusema hev instead of have ama wek instead of work ndio mazuri? The only original English accent is from the Englishmen themselves, hizi zingine zote ni Bonoko. Usiangalie yenu ukasema ni Bora kuliko nyingine wakati zote ni Bonoko. What matters is the grammar of which Tanzania is the worst in all English speaking countries.