Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wamekimbiza vishundu vyao 😅😅😅
Screenshots_2023-12-30-20-03-44.png
 
Ila kwa Ground why hatuoni Ena Coach na wengine wa Teargas, kazi kuona makarai mpaka City Centre, yaani Bongo mabasi ya 2000s ambayo nowdays yapo huko vijijini ndani ndani kwenda Rough roads, Kenya ndio yanatamba Jijini.

Au ndio ukweli Kabasi kazuri ni kamoja mengine yote ngijangija, Ngarangara, Nyundo. No wonder Gor Mahia basi lao lililingishwaaa weee maana hawajazoea
Hayo mabus wanayopost mengi route zake ni nairobi mombasa na kidogo kisumu na eldoret, sasa mwambie akuonyeshe mabus japo matano tu ya route moja yanayoenda miji tofauti na hyo ( lisianzie nairobi).

Hayo ni kwaajil ya picha tu yaan "buy kenya built kenya😄"
 
Tunasikia duniani meli zinazokuja Africa zimekosa pakudock kutokana na wingi wa meli na slow offloading pace kwenye bandari zetu mpaka zinarudi zilikotoka, hivi hii neo panamax transhipment port pekee Africa hawaioni? 😂😂😂

Hata zile ngalawa za kusafirisha punda zimezira 😂😂😂 Hii hata ukiita white elephant ni kama unaiinua kisirisiri 😁😁😁

Cha kushangaza walivyozibwa ufahamu hili hawaliongelei kama wanavyoidadavua bandari ya Dar

Screenshot_20231230-205644.jpg
 
Compare Mombasa and Dar Port. Out of 20 the ships that arrived in Dar Port between today and 28th December, 11 ships are pilot and tug boats. Carrying nothing.
 
Achana na huyo tapeli wewe nyumbu.Hata uwe na PhD 💯 haizuii kuwa tapeli na ni kazi Bure
Amemtapeli nani?? Kati ya Samia na Maria Sarungi nani tapeli??

Samia kauza ngorongoro,kauza bandari na sasa anataka kufanya awezalo JNHP isikamilike kwa wakati ili mambo yake ya kifisadi yakamilike
 
Back
Top Bottom