Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shukuraniiiii kwa wakenya kwa kutuachia evidence ya Mombasa port next time itakua mkuki wa kuwaulia
Level ya Mombasa mtafika 2050. Kwa sasa papmbaneni na Kipindupindu

1703867202453.png
 
Inasikitisha sana serikali inamefilisika kabisa hata mawazo tu, Nyerere alipiga marufuku madini ya vito gemstones kuchimbwa na wageni kabisa na ndio maana miji kama ya Arusha ilikua kwa kasi sana sababu ya locals kuchimba Tanzanite wenyewe hence ikapelekea uchumi shikirishi kukua na kunufaisha locals wengi sana, baadae wasio na akili wakaruhusu mpaka wakenya wakawa wanakuja kuchimba, Magufuli alipoingia akawafukuza na kuzungusha ukuta, mpaka wanyarwanda walikua wanachimba mle kisa tu mamlaka wanayo wasio na akili wala aibu

Huwezi kusema wananchi wajiongeze wenyewe bila kuwawekea sera na mikakati ya kufika dunia ilipo leo, bado watanzania wengi wapo kwenye feudalism state of thinking, modern economy bado wengi hawajui, wengi wanamiliki mifugo mingi, mashamba makubwa wanaficha pesa uvunguni, ndani ndani huko watu wana pesa nyingi sana lakini hawajui wazipeleke wapi, serikali kupitia mabanki na taasisi kama TIC inatakiwa ije na incubation program kuwavusha watanzania wenye capital potential kutoka kwenye primitive economy.
Kwamba unahitaji mchina aje achimbe hadi dhahabu, dhahabu hata mwanakijiji asiye na elimu kabisa anaweza kukuchimbia, akaprocess akakuletea,
Kwanini tusiwezeshe wachimbaji wetu wadogo na wa kati kwenye vito na dhahabu ?
Ni sawa kwenye maeneo ya fuel na gas sababu unahitaji technology, lakini dhahabu na Vito ? Bado hatupo serious
 
Tanzania ilishaovertake Kunya kitambo , in fact Kunya haijawahi kuwa better than TZ , get this bitter fact deep inside your small skull between your large ears.
I don't listen sorcerers like you. The only thing Tanzania is better than Kenya ni uchawi na urogi.
 
Back
Top Bottom