Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu dada tapeli ni kama yule David Ndii
Sio tapeli wewe ndio tapeli,kada na chawa wa Samia......huyu dada elimu aliyo ukoo wenu hayupo wa kumfikia na anatoka ushuani sana.......baba yake alikuwa Waziri CCM ila yeye ameona CCM ni ujinga tu

Be open minded,nchi hiii imeharibiwa sana na CCM na huyu ndie adui yetu mkubwa,hatuna budi kumuondoa
 

39 ships

20231229_141012.jpg


Vs 27 ships.

20231229_140954.jpg
 
Tanzania ilishaovertake Kunya kitambo , in fact Kunya haijawahi kuwa better than TZ , get this bitter fact deep inside your small skull between your large ears.
Mtatuambia wenyeweπŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • 0513612adc6287ed39eb018f32646d54.mp4
    30.9 MB
Hebu tueleze tunafeli kivip hebu tufafanulie kidogo
Jambo la watanzania kadhaa kupitishia mzigo kenya linaleta picha halisi tofauti na takwimu zinazotolewa na serikali,kama ni kweli tupo more efficient na cheaper than mombasa haina haja ya kupitisha mzigo kenya hapo ndio tunapofeli pamoja na uwekezaji wote tuliofanya katika sekta hii
 
Back
Top Bottom