Sio kumi, kumi na tano. Na Mombasa ni Siku mojaLet me just leave these ones here
View attachment 2856321
View attachment 2856322
View attachment 2856319
View attachment 2856320
Sio kumi, kumi na tano. Na Mombasa ni Siku mojaLet me just leave these ones here
View attachment 2856321
View attachment 2856322
View attachment 2856319
View attachment 2856320
Yeah huyu ni hamna kabisa!!! Nafikiri alipewa kazi kwa ajili ya kumpatia Bi'Kidude kura za Lake zone ila huyo jamaa hana maajabu yoyote yaleHuyu Naibu PM ana masimulizi mengi sana na Kauli za kipeana faraja ila hana ubunifu wowote wa maana.
Mnajua kujipa faraja😎😎Sio kumi, kumi na tano. Na Mombasa ni Siku moja
View attachment 2856444
Hata hiyo ya kumpatika Kura Lake zone imebuma Kwa sababu hana ushawishi wowote kwanza sio Msukuma ndio maana Mama akamleta Makonda.Yeah huyu ni hamna kabisa!!! Nafikiri alipewa kazi kwa ajili ya kumpatia Bi'Kidude kura za Lake zone ila huyo jamaa hana maajabu yoyote yale
Daah finally umeamua kututukana kabisa!!! Ila tambua kuwa hakuna kanda yenye wasomi wengi na wakubwa kwenye nchi hii kama watu wa Kanda ya ziwa eg;Wahaya,wajaluo,wakerewe etc...Usicheze na Makonda,keshaonesha hizo Nguvu baada ya Ziara ya kwanza.
Mwezi ujao anaanza ziara nyingine back to back.
Makonda anajua watu wa Kanda ya Ziwa ni wajinga wanapenda maigizo kama Yale ya Mwendazake na ndivyo Makonda anafanya kuanzia kuzungumza kisukuma Jukwaani Hadi maagizo uchwara ya kupigia simu viongozi.
Wahaya sio rafiki wa Wasukuma na Magufuli walikuwa hawamkubali alikuwa anawabagua siku nyingi sana na alikula rambi rambi zao za tetemeko na kejeli Juu.Daah finally umeamua kututukana kabisa!!! Ila tambua kuwa hakuna kanda yenye wasomi wengi na wakubwa kwenye nchi hii kama watu wa Kanda ya ziwa eg;Wahaya,wajaluo,wakerewe etc...
Makonda nguvu hana kwa sasa na pumzi imekatika mapema sana na kama unabisha fuatilia wakati anaanza mikutano yake na mpaka mkutano wake wa mwisho,ilifika saa 9 uwanja hauna watu kabisa ikabidi CCM wakodi wanafunzi toka Shule za bweni jirani waje wauhadae umma
Shida ya Makonda uwa hana hoja na hajui kuzungumza wala kupangilia maneno kam Nape Nnauye au Polepole........Huyu anabebwa na kivuli cha mwendazake na sio vinginevyo
Hii ni tetanus hatariKila nchi inanunua bus kulingana na specifications inazohitaj kwa wenzetu wanahitaj bus kama hzo kutokana na condition zao ndio maana unaona most of african bus zinafanana kutokana na africa ilivo, sio nyinyi munaochonga body kwenye chasis za malori
Imagine hii ndio type ya bus inabeba mafuvu yenu 🤣🤣🤣🤣
View attachment 2854939View attachment 2854940
Huijui Kanda ya ziwa na huijui Mwanza kwa marefu na mapana yake.Wahaya sio rafiki wa Wasukuma na Magufuli walikuwa hawamkubali alikuwa anawabagua siku nyingi sana na alikula rambi rambi zao za tetemeko na kejeli Juu.
Tukizungumza Kanda ya Ziwa technically ni Wasukuma hususani Mwanza.
Thread gani hiyo? Mimi kulalamikiwa na haters wa Samia(Sukuma gang &Machadomo) ni kawaida.
Harafu mtu mzima kuwa Mbeya haipendezi
I'm sure Dar haitapitisha 17M tonnes in 2023.
View: https://twitter.com/Kenya_Ports/status/1740679380094132495?s=19
Mombasa Port already is at 32.95M tonnes.
View: https://twitter.com/Kenya_Ports/status/1740676843546747363?s=19
Kwani wewe umeandika nini mbona unalia?Usenge mwingine huu, Kama Daraja la Kigamboni kulipia, ila Kigogo busisi free. Government inakua na usenge sana. Ingekua Dar Mpaka Dom hapo sawa tungeelewa ila Dar Moro? 130 Km toll?
Hatukatai ila tuna rasmali nyingi ambazo zikitumiwa vizuri tunaweza kua na kila aina ya miundombinu ya viwango vya kimataifa na vyote vikawa free.
Mfano, tuko na Rasmali ya kutengeneza Umeme wa Nyuklia, makaa ya mawe, gesi, HEP inayotosha kuuza nje kuingizia serioali surplus ambayo ingetumika kupush economy, ila sasa mijitu inawaza kuwapa wageni tu tena kwa mikataba ya kimagungo.
Nchi hii MAGUFULI aliiweza, narudia MAGUFULI ALIIWEZA ikiwa, jitu linakuja linakwambia Eti kama Tunalalamika Foleni tuhame Dar usenge gani huu.
Back then Mjomba kaja na plan ya kufuta Folen maeneo Korofi, Ubungo, Buguruni, mdogo mdogo kaanza na Mfugale, kaja interchange Ubungo, na Mawasiliano katengeneza shortcut Deport ya BRT. Mijitu ipo haioni Foleni ya Morroco ambayo sijui imekujaje wakati back then hata hatukuiona.
Vijamaa vinajificha kwenye kivuli eti ni inefficiency, wanataka kukataa ukweli kwamba foleni inakua kubwa due to increased trade. Biashara ya Tz ni kubwa kwasasa na ndio maana foleni inaonekana kuongezeka, zamani wakati tuki record number ndogo hiyo misururu ya meli haikuonekana.Traffic jam in Dar port due to increased trade and not otherwise. According to WB Dar port is ahead of Mombasa, Beira and Durban in efficiency sasa sijui mnaongelea efficiency gani hapa.