Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona hata mama Samia hajaiona ukiona ivo ujue ni uwekezaje wa kimagumashi sana ndo maana hata serikali ya awamu ya sita imeona aibu kuupitisha
Mama samia alienda mpaka China kumuomba Xi Jinping arudishe mradi! Kuna kitu kinaitwa negotiations jamaa yenu hakuwa na upeo kwenye hilo!
 
Hahahahaha. Most efficient with less than 20 million metric tones of cargo? While in Kenya we are trying to beat the 40 million mark this year. Sit this down please
kwahiyo wewe unadhani tutabaki pale pale licha ya cargo kuongezeka kwa kiwango cha kutisha? yani kwenu mzigo hakuna mpaka Dar port ijae ndio mombasa port ipate meli moja au mbili na bado unaongelea 40m metric, wakenya hamna akili.
 
Capture.PNG

Capturer.PNG

Jiunge nami kibera upoze koo😎😎😁😁😁🤣🤣🤣
 
Sio tapeli wewe ndio tapeli,kada na chawa wa Samia......huyu dada elimu aliyo ukoo wenu hayupo wa kumfikia na anatoka ushuani sana.......baba yake alikuwa Waziri CCM ila yeye ameona CCM ni ujinga tu

Be open minded,nchi hiii imeharibiwa sana na CCM na huyu ndie adui yetu mkubwa,hatuna budi kumuondoa
Achana na huyo tapeli wewe nyumbu.Hata uwe na PhD 💯 haizuii kuwa tapeli na ni kazi Bure
 
They are still dreaming of overtaking Kenya. Mtangoja sana.


View: https://twitter.com/Kenyans/status/1740695971074556414?s=19

Analysis 2001-2022(Past 10 years).

Ukisoma hapo unakuta growth rates ilikuwa kubwa zaidi awamu ya Kibaki na ikaanza kuporomoka awamu Uhuru.Hadi Sasa trend ni hiyo hiyo 4-5.5% vs Tanzania 5-7%

Forecast Kwa Tanzania Kwa miaka ijayo 6-7%

Forecast Kwa Kunyaland ni 5-6%

So mpaka hapo tutaendelea ku close Gap na hao hao IMF/WB ndio wanasema kati ya 2028-2034 tutawapita.

Mwisho ukija kwenye maisha halisi Sasa ukiacha Takwimu,Wakunya mnanuka Ufukara wa kutisha 😁😁
 
Back
Top Bottom