Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nimeongea sn kuhusu kulala kwa viongozi wa hii nchi, tatizo wengi wazee, CCM inatuharibia sn hii nchi, imagine takwimu kama hizi hazionekani, wenzetu wakunya hata wakiuza kijiko Tz wanakipiga picha wanapost, nchi ina viongozi mizigo sn hii.
Sio kunyastan tu,comoro 80% ya bidhaa zao wananunulia TZ,uliza sasa kama hao ccm wana data ya vitu tunavyouza comoro,bakhresa ana hadi meli inaitwa azam comoro na hata zile kubwa sea link uwa zinapiga route yq comoro mizigo ikiwa mingi,bado kuna meli zingine zinazopeleka mzigo comoro,mcomoro ananunua ng'ombe meli nzima,magodoro,cement,matunda n.k anapeleka kwao,na hamna data yoyote,ccm wapo wapo tu ili mradi familia zao zinaishi fresh hamna wanachojali
 
Nairobi CBD street parking, bicycle lane and pedestrian walkway.

Image
 
Sio kunyastan tu,comoro 80% ya bidhaa zao wananunulia TZ,uliza sasa kama hao ccm wana data ya vitu tunavyouza comoro,bakhresa ana hadi meli inaitwa azam comoro na hata zile kubwa sea link uwa zinapiga route yq comoro mizigo ikiwa mingi,bado kuna meli zingine zinazopeleka mzigo comoro,mcomoro ananunua ng'ombe meli nzima,magodoro,cement,matunda n.k anapeleka kwao,na hamna data yoyote,ccm wapo wapo tu ili mradi familia zao zinaishi fresh hamna wanachojali
Eastern DRC tu mpaka mitungi ya gas ni ya Tanzania, kila kitu wanachotumia kinatoka Tanzania

Hiyo meli imejaa bidhaa za Tanzania, anasema kila kitu wanachotumia kinatoka Tanzania lakini meli hurudi Tanzania ikiwa tupu kabisa sababu hakuna kitu hata kimoja DRC inaiuzia Tanzania

Screenshot_20231127-062026.jpg
Screenshot_20231127-062008.jpg

View: https://youtu.be/SVoDpvrHnmE?si=NGuhjkJMgxImrMVV
 
Sio kunyastan tu,comoro 80% ya bidhaa zao wananunulia TZ,uliza sasa kama hao ccm wana data ya vitu tunavyouza comoro,bakhresa ana hadi meli inaitwa azam comoro na hata zile kubwa sea link uwa zinapiga route yq comoro mizigo ikiwa mingi,bado kuna meli zingine zinazopeleka mzigo comoro,mcomoro ananunua ng'ombe meli nzima,magodoro,cement,matunda n.k anapeleka kwao,na hamna data yoyote,ccm wapo wapo tu ili mradi familia zao zinaishi fresh hamna wanachojali
Kwa nini data zisiwepo,, yaani wewe unacholalamika ni nini hasa?

Ng'ombe hazinunuliwi Wala kusafirishwa kwenye black market ni kwenye minada maalumu hivyo takwimu zipo.
 
Ila kwa Ground why hatuoni Ena Coach na wengine wa Teargas, kazi kuona makarai mpaka City Centre, yaani Bongo mabasi ya 2000s ambayo nowdays yapo huko vijijini ndani ndani kwenda Rough roads, Kenya ndio yanatamba Jijini.

Au ndio ukweli Kabasi kazuri ni kamoja mengine yote ngijangija, Ngarangara, Nyundo. No wonder Gor Mahia basi lao lililingishwaaa weee maana hawajazoea
 
Hao wajinga Wakishiba nyama ya punda, Ugali wa nyasi na Mokimoo kazi kuja kurusha rusha mateke ya mtu anayekata roho.

Hii nchi bana, hapa tupo kimzaha mzaha na hatujaiutilize to fullest, kuna potentia nyingi, Nina uhakika tukiutilize kila potential kwa nchi hata huko EUROPE hawatusogelei.

Utajiri ni mkubwa kila sector, kuanzia Madini, Utalii, Michezo, Kilimo na Uvuvi, Uchukuzi na Mawasiliano, Sanaa (Muziki), Nishati (Gesi, Umeme, Makaa ya Mawe, Uranium). Ni mengi sana
 
Back
Top Bottom