Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tahmmed kwenye cargo ya zile fuso kwa sasa anafanya biashara kuliko hata buses,mombasa hadi magodoro wananunua TZ,sofa,nguo za kike hasa madera zote wanatoa TZ,fuso za Tahmed kwa siku hata 5 zinatoka pale kkoo ofisini kwao,shida iliyoko TZ tuna viongozi vilaza awaweki data vitu tunavyoexport kunyastan,kwa upande wa nairobi pochi za kike wanakuja kuchukulia TZ,sasa hivi TZ ndio china yao wakunya
nimeongea sn kuhusu kulala kwa viongozi wa hii nchi, tatizo wengi wazee, CCM inatuharibia sn hii nchi, imagine takwimu kama hizi hazionekani, wenzetu wakunya hata wakiuza kijiko Tz wanakipiga picha wanapost, nchi ina viongozi mizigo sn hii.
 
Kulaumu viongozi hamuwezi kuleta suluhisho hasa kama hizo biashara zinafanyika kinyemela/black market.

But kama sio kinyemela basi jua ziko kwenye takwimu.Saidia Nchi na Viongozi badala ya kulaumu na kulalamika.
 
Picha za kutisha 👇
Capture.PNG
IMG_3109.jpeg
.. Teargas. Hapo vipi mzee baba.? 🤣🤣🤣
 
nimeongea sn kuhusu kulala kwa viongozi wa hii nchi, tatizo wengi wazee, CCM inatuharibia sn hii nchi, imagine takwimu kama hizi hazionekani, wenzetu wakunya hata wakiuza kijiko Tz wanakipiga picha wanapost, nchi ina viongozi mizigo sn hii.
Ccm shida yake viongozi wanachoangalia takwimu za familia zao tu,hawana mpango kabisa na maendeleo ya nchi,kunyan wananufaika sana na nchi yetu,yan wanajichotea minyama na wakitoka hapo utasikia wanatuponda
 
Ila ile SGR station pale posta ni ndogo sana ukizingatia kuna abiria wa treni ya kawaida watahudumiwa pale pia, serikali Ina mpango gani juu ya hilo.?
sina uhakika ila kwa kuanzia conectivity ya ile BRT phase III ya Gongo la Mboto ifike angalau SGR Pugu station iangaliwe na pia Magufuli Bus Terminal iunganishwe na SGR Pugu station kwa barabara BRT na hata treni za mjini ili wale wanaotaka kusafiri na SGR toka uwanja wa JNIA na kutoka Magufuli Bus terminal wasilazimike kuja Posta Stesheni! Pia wanaotaka kusafiri na ndege toka SGR na toka Magufuli Bus Terminal wafike JNIA kwa urahisi. Nadhani mipango ipo ila utekelezaji wake sijui lini! Kumbuka kuna miradi ya Bus Terminal Mbagala na pia ring superhigway sijui imeishia wapi?
 
Back
Top Bottom