Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 592
- 1,698
Amemtapeli nani?? Kati ya Samia na Maria Sarungi nani tapeli??Achana na huyo tapeli wewe nyumbu.Hata uwe na PhD 💯 haizuii kuwa tapeli na ni kazi Bure
Samia kauza ngorongoro,kauza bandari na sasa anataka kufanya awezalo JNHP isikamilike kwa wakati ili mambo yake ya kifisadi yakamilike