Hili jengo la kibabe sana
Kubwa jinga 🤡🤡Amemtapeli nani?? Kati ya Samia na Maria Sarungi nani tapeli??
Samia kauza ngorongoro,kauza bandari na sasa anataka kufanya awezalo JNHP isikamilike kwa wakati ili mambo yake ya kifisadi yakamilike
Kwenye hili kweli mmetushinda!! TTCL ingechangamkia hii fursa!! Maharage angechamgamka pale. Miundombinu tayari ipo kwa TTCL, na waweke bei RAfiki kama za zuku!!Kenya has 1.24 million fixed internet subscribers while Tanzania has only 77,000 fixed internet subscribers. Bongoslum bado watu wengi wanategemea internet bundles za simu.
![]()
Source: CAK https://www.ca.go.ke/sites/default/files/2023-12/Sector Statistics Report Q1 FY 2023-2024.pdf
Source: TCRA https://www.tcra.go.tz/uploads/text-editor/files/Communication Statistics for Q4 2023_1689602781.pdf
Wametushind wapi mzee hawa watu ni wazew wakupika data ili waweze kujidanganya ndio maana data zao ukizifatilia over 95% zote zimepikwa, ikiwa wanapika mpaka data za uchumi wao watashindwa kupika data za internet 😅😅😅Kwenye hili kweli mmetushinda!! TTCL ingechangamkia hii fursa!! Maharage angechamgamka pale. Miundombinu tayari ipo kwa TTCL, na waweke bei RAfiki kama za zuku!!
Na hii ikumbukwe tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya 😅😅😅😅
Wapikaji data wasikutishe hao waangalie tu amna kitu apoKwenye hili kweli mmetushinda!! TTCL ingechangamkia hii fursa!! Maharage angechamgamka pale. Miundombinu tayari ipo kwa TTCL, na waweke bei RAfiki kama za zuku!!
View: https://twitter.com/WizarayaUC/status/1741335169276018866
View: https://twitter.com/WizarayaUC/status/1741335270648095218
MY TAKE
Mpo kwa giza?
Nyie Kundustans BlietzKrieg, NairobiWalker, Teargas, The Other Delo, mpumbavu wa ukoo wa Sadima mwaiofhawaii n nairobae njooni mpige njuru huku!
Kipimo halisi cha SGR Kenya ni MGR Tanzania 👇 👇
View: https://youtu.be/Top0IcZIBy8?si=lg7LYlV6K4n5sU6N
Mkuu salaam. Hii shule Ada ni kiasi gani?
kutembeza bakuli?Sasa hivi mtamuona Zakayo akikwea pipa kwenda korea kusini 🤣🤣🤣