Estimated budget ni USD 900m na tayari kuna tajiri mmoja mwenyewe migodi Burundi alijitolea kutoa hela yote ya ujenzi ili tukatane kwenye kubeba mzigo wake wa madini huko mbeleni imagine ni mzigo mkubwa kiasi gani atakuwa anasafirisha kila mwaka ku warranty hiyo hela yote USD 900m.Kati ya Walikale na Kisangani Kuna nini kipo katikati kinazuia reli isinyooke?
Hii approval ya AFDB ni bonus kubwa kwa kipande hiki cha reli.