Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili li Tanzania haki ya mama ni likubwa balaa alafu watu hakuna kabisa, kote huku ni pori tupu aisee, watanzania sisi ni wavivu kuzaana wallahi, wenzetu wakenya wanazaana kama panya kanchi kadogo wapo zaidi ya 60m.
DSC_0063.JPG
DSC_0062.JPG
DSC_0061.JPG
DSC_0058.JPG
DSC_0055.JPG
DSC_0059.JPG
 
Inasikitisha serikali yetu inashindwa kutoa takwimu za wagonjwa wanaotoka nje ya TZ kuja kutibiwa TZ,pale taasisi ya moyo ya jk kuna wakunya kibao wanapewa refarral kutoka naipori na kuja TZ,tena wanaandikiwa india au TZ mtu anaangalia gharama yake na wengi uprefer kuja TZ,kuna mmoja aliniambia india gharama india ni kubwa so ndio maana kaja TZ kafikia kwa ndugu zake anaenda muhimbili kwenye mazoezi na kurudi home mpaka atakapofanyiwa operation,na alifikia pale magomeni mapipa
Wakundustan wamejaa JKCI kama kumbi kumbi na hawana popote pa kwenda Africa zaidi ya Tanzania pale hospitali zao zote zinapoinua mikono

Angalia wamalawi wanavyofurahia huduma za kibingwa

View: https://youtu.be/YvM2S6nezLs?si=FKNsGbu4zIX1sUkj
 
Hili li Tanzania haki ya mama ni likubwa balaa alafu watu hakuna kabisa, kote huku ni pori tupu aisee, watanzania sisi ni wavivu kuzaana wallahi, wenzetu wakenya wanazaana kama panya kanchi kadogo wapo zaidi ya 60m.
View attachment 2841373View attachment 2841374View attachment 2841375View attachment 2841378View attachment 2841380View attachment 2841377
Wamebaki kutahamaki na kushangaa eti Tanzania bado kuna mashamba, ukiangalia comments kwenye videos za wakenya wenzao waliotembelea Tanzania wa nashangaaga Tanzania kuwa na eneo kubwa lenye rutuba na hapaishi mtu kabisa 🤣 hapo ndio huwa najiuliza kama idadi yao ni sahihi kweli? Hata miji yao inaonesha inamsongamano mkubwa sana wa watu tofauti kabisa na Tanzania
 
À Kenyan Member of Parliament participating in EA Parliamentary sports competition. Watz mligwama wapi!? She was number 3 in the long race
img_1_1702467004240.jpg
 
Wamebaki kutahamaki na kushangaa eti Tanzania bado kuna mashamba, ukiangalia comments kwenye videos za wakenya wenzao waliotembelea Tanzania wa nashangaaga Tanzania kuwa na eneo kubwa lenye rutuba na hapaishi mtu kabisa 🤣 hapo ndio huwa najiuliza kama idadi yao ni sahihi kweli? Hata miji yao inaonesha inamsongamano mkubwa sana wa watu tofauti kabisa na Tanzania
Wakenya wapo zaidi ya milioni 60, kanchi kao ni kadogo zaidi ya mara mbili ya Tanzania, sisi wavivu kuzaana.
 
Ok, tuseme Mombasa mwenzake Dar, je Mombasa kuna cable stayed bridge? Mana mlisema Nairobi hakuna ulazima, ok Mombasa kuna electrified railway? Je, mombasa kuna three level interchange? Je, Mombasa kuna modern airport like JNIA? Je, Mombasa kuna modern bus terminus like Magufuli bus terminal? Je, Mombasa kuna BRT? Haya yote nimekuja kugundua hayapo Kenya nzima, na sio tu Kenya bali ni East and central Africa, so wakenya mpambane kweli kweli kuifikia Tz ya leo.
 
Inasikitisha serikali yetu inashindwa kutoa takwimu za wagonjwa wanaotoka nje ya TZ kuja kutibiwa TZ,pale taasisi ya moyo ya jk kuna wakunya kibao wanapewa refarral kutoka naipori na kuja TZ,tena wanaandikiwa india au TZ mtu anaangalia gharama yake na wengi uprefer kuja TZ,kuna mmoja aliniambia india gharama india ni kubwa so ndio maana kaja TZ kafikia kwa ndugu zake anaenda muhimbili kwenye mazoezi na kurudi home mpaka atakapofanyiwa operation,na alifikia pale magomeni mapipa
Huwa wanatoa sana tuu sema wewe ndio uko less informed.

Next budget readout sikiliza Wizara ya Afya utapata takwimu zote.
 
Wamebaki kutahamaki na kushangaa eti Tanzania bado kuna mashamba, ukiangalia comments kwenye videos za wakenya wenzao waliotembelea Tanzania wa nashangaaga Tanzania kuwa na eneo kubwa lenye rutuba na hapaishi mtu kabisa 🤣 hapo ndio huwa najiuliza kama idadi yao ni sahihi kweli? Hata miji yao inaonesha inamsongamano mkubwa sana wa watu tofauti kabisa na Tanzania
Sasa wanashangaa nini ikiwa 51% of our Landmass is covered with protected forests hapo sijataja vichaka na Misitu ya hapa na pale.

Harafu wanatakiwa waelewe kwamba Tanzania ni kubwa combine Nchi zote zinazotuzunguka except DRC
 
Mizigo gani ya maana inaenda burundi?
Iyo pesa jengeni roads na electricity kwenu ifike 90%>
Pia muondoe uswazi nchi mzima.
Wewe una uelewa mdogo sana. Ili ufike DRC lazima reli ipite Burundi. Besides Burundi wana madini mengi sana yanasafirishwa nje ya nchi hatuangalii tuu imports. Target yetu ni Eastern DRC KINDU.
 
Ok, tuseme Mombasa mwenzake Dar, je Mombasa kuna cable stayed bridge? Mana mlisema Nairobi hakuna ulazima, ok Mombasa kuna electrified railway? Je, mombasa kuna three level interchange? Je, Mombasa kuna modern airport like JNIA? Je, Mombasa kuna modern bus terminus like Magufuli bus terminal? Je, Mombasa kuna BRT? Haya yote nimekuja kugundua hayapo Kenya nzima, na sio tu Kenya bali ni East and central Africa, so wakenya mpambane kweli kweli kuifikia Tz ya leo.
It will take them more than 30 years kuwa na facilities kama zilizopo Dar.

Wakati wao wana catch up sisi tunaongeza gap with extra modern facilities
 
Back
Top Bottom