The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,968
Ila we Jamaa Huwa unanifurahisha,Kwa hiyo wewe Huwa una your own GDP figures 😆😆😆😆Now tupo kwenye $150b itakapofika 2030 tutakuwa tushagonga $200b
Ila we Jamaa Huwa unanifurahisha,Kwa hiyo wewe Huwa una your own GDP figures 😆😆😆😆Now tupo kwenye $150b itakapofika 2030 tutakuwa tushagonga $200b
🔥🔥
Wapi? Na ya nani?
Wewe achana na Nixie banaa 😂
KabisaUpo Wavuvi camp sio?
GDP ya Tz imefichwa kwa miaka mingi sasa, now inakwenda kuwekwa hadharani tutake tusitake.Ila we Jamaa Huwa unanifurahisha,Kwa hiyo wewe Huwa una your own GDP figures 😆😆😆😆
Naona unaangalia meli kwenda Dar port zilivyopangana! Kuna za kuleta pipelines za EACOP, kuna za mafuta ya Uganda, kuna za magari ya nchi nyingine, kuna za locomotives za electrical SGR pia.
Watanzania wanauliza hapa kila saa eti Wakenya wapo wapi.
Muelewe Wakenya wapo kwenye mambo ya Middle Income nyie bado mwafanya mambo ya LDC hatufanani vile.
Mwinyi leo ameingia hapa Uhuru Garden akadhani yupo Marekani. Mwenyewe alikiri. Nenda amuulize kama utaweza.
View: https://youtu.be/0M_aS5YMoPc?si=6CwEp7KWj5XUACLQ

Laini ya meli inaonyesha inefficiency not SIFA.Naona unaangalia meli kwenda Dar port zilivyopangana! Kuna za kuleta pipelines za EACOP, kuna za mafuta ya Uganda, kuna za magari ya nchi nyingine, kuna za locomotives za electrical SGR pia.
Miaka ya 80 na 90 hapo meli hazikuzidi tatu zikisubiri, kwa hoja yako kipindi hicho kulikuwa na efficiency?Laini ya meli inaonyesha inefficiency not SIFA.
Shows poverty
Huyo chizi anasumbuliwa na wivu. 🤣🤣Miaka ya 80 na 90 hapo meli hazikuzidi tatu zikisubiri, kwa hoja yako kipindi hicho kulikuwa na efficiency?
Hopefully kuanzia afike hapo hatawahi tena kulinganisha Masaki na Karen na wala sidhani kama ataweza kuchangia hiyo mada. 🤣🤣 Cc IamLeeAlaf mwambie aendelee kufananisha masaki na karen sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Abood wapo vizur mkuu, nauli saivi imefika bei gani Dar-Moro.?
Nchi maskini na omba omba kama kundustan pa1 na ile gdp yao ya kuchovya haiwezi kuendesha miradi ya kama ya rufiji hydropower,sgr,brt system phase 2,3,4 kwa wakati mmoja,huku miradi ya barabara nchi nzima ikiendelea na bado mishahara kwa watumishi wa umma inalipwa kwa wakati,angalia wazee wa gdp ya kuchovya kundustan vimiradi vyao na bado serikali yao inafikia kipindi inashindwa kulipa mishaharaIla we Jamaa Huwa unanifurahisha,Kwa hiyo wewe Huwa una your own GDP figures 😆😆😆😆
Jamaa ana sura ngumu hatariUsiishi kizamani😎😎
Hela ndogo tu 13k.Abood wapo vizur mkuu, nauli saivi imefika bei gani Dar-Moro.?