Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,082
- 17,801
Msusruru wa meli is an indicator of port efficiency. Haimaninshi kwamba biashara imenoga. Umeambiwa Mombasa port handles three times the volume that Dar port handles but hakuna msongamano. Mficha uchi hazai kaka!!Idadi ya watu, mahitaji na biashara pamoja na maendeleo yameongezeka sana ukanda wetu wa kusini (SADC) na hiyo ndiyo sababu ya huo msururu wa meli. Bandari tunazo tatu na ufanisi unaongezeka.