kwa serikali hii sidhani, unajuwa Kikwete ndiye aliyeshika remote. Nakumbuka kuna kipindi Putin alikuwa aje TZ wakati wa awamu ya nne (Kipindi kile Xi alipokuja Tz), inaonekana alipata "ushauri" kwa hao jamaa zake, ile ziara ikafa kibudu.baada ya bwawa nahisi tuangalie nyuklia singida kabisa tuwe na reactor ya nyuklia tuwe na umeme wa kutosha tuwalishe hawa nyumbu russia ni watu wetu serekali iweke huu mkakati mapema.
😂😂😂😂 Ana kipaji sema ajasanuka tu 🤣🤣🤣Umeona full comedy 😂😂😂😂😂
Alivyokosa mshipa wa aibu anaongea huo utumbo mbele ya Marais wenzake? Me nikajua yupo site huko korogocho anawapanga kondoo wake as usual 😂😂😂😂Anaongea matope hizo ajira za Hollywood si za kudumu halafu sidhani kama idadi itazidi 50! Yet kaweka kama main point kwenye speech ya miaka 60 ya Kunyaland! Yaani ni hewa kichwani mpska basii!
Anajua akina Teargas ndio wanapenda kusikia hivyo😎Alivyokosa mshipa wa aibu anaongea huo utumbo mbele ya Marais wenzake? Me nikajua yupo site huko korogocho anawapanga kondoo wake as usual 😂😂😂😂
Kwenye Logistics Industry labda mshindnai wa Tanzania Kwa Mashariki na Kusini ni South Africa tuu ,Nchi nyingine ni wachumba zetu.Huyu prime fuels ana gari nyingi zaidi ya nusu zina tenda huko Angola, Namibia na Zimbabwe. Chuma zikienda huko zinapiga kazi mwaka au miezi kadhaa.
Hii miradi yote gdp yetu itakua iko mbali sana tofauti na data zinavyoonyeshaWalisema mzigo wote wa Bomba za EACOP ungepita Mombasa 😅
Employment chain ya logistics zote hizi mtanzania anapeta!
Dar to Tabora 835km ni distance kubwa kwa idadi ya mabomba ya mradi ni uchumi mkubwa utakua kuanzia kodi kwenye diesel ya logistic nzima na kila kitu!
View attachment 2840999
Now tupo kwenye $150b itakapofika 2030 tutakuwa tushagonga $200bHii miradi yote gdp yetu itakua iko mbali sana tofauti na data zinavyoonyesha
Upo Wavuvi camp sio?