Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nchi maskini na omba omba kama kundustan pa1 na ile gdp yao ya kuchovya haiwezi kuendesha miradi ya kama ya rufiji hydropower,sgr,brt system phase 2,3,4 kwa wakati mmoja,huku miradi ya barabara nchi nzima ikiendelea na bado mishahara kwa watumishi wa umma inalipwa kwa wakati,angalia wazee wa gdp ya kuchovya kundustan vimiradi vyao na bado serikali yao inafikia kipindi inashindwa kulipa mishahara
Nilitaka niseme hivi nikaamua kuacha tu.
 
Nilitaka niseme hivi nikaamua kuacha tu.
Hii nchi ina miradi inafanyika kimya kimya na tunaichukulia poa sababu na kuona kawaida kwa sababu ya miradi mikubwa inayoendelea so hii mingine tunaona kawaida,nchi inakimbia kwa kasi sana,kwa kasi hii hiyo 2030 tutakua pale kwenye GDP uliyoisema kaka
 
Miaka ya 80 na 90 hapo meli hazikuzidi tatu zikisubiri, kwa hoja yako kipindi hicho kulikuwa na efficiency?
Mbona Mombasa with ×3 ya meli zinazofika hapo Haina lines???
Jengeni more berths na muwe na efficiency,
Zero lines.
 
Egypt inataka kuionea hii Nchi Mwanachama wa EAC

View: https://twitter.com/ebczena/status/1734190498355827095?t=dd-q0h9-x0vvHhWU-hfBYA&s=19

Naunga mkono Commission Mpya iliyoandikwa na Ethiopia na kupitishwa na Baadhi ya Nchi za Bonde la Mto Nile inayoeleza masharti mapya ya Haki za matumizi ya maji ya Bonde la Mto Nile.

Nawakumbusha tuu,Wakunya hawaja ratify hiyo article ya Ethiopia kama kawaida ni wasaliti wa Africa.

Labda kaahidiwa nusu bakuli 😁😁😁
 
Mbona Mombasa with ×3 ya meli zinazofika hapo Haina lines???
Jengeni more berths na muwe na efficiency,
Zero lines.
Idadi ya watu, mahitaji na biashara pamoja na maendeleo yameongezeka sana ukanda wetu wa kusini (SADC) na hiyo ndiyo sababu ya huo msururu wa meli. Bandari tunazo tatu na ufanisi unaongezeka.
 
Idadi ya watu, mahitaji na biashara pamoja na maendeleo yameongezeka sana ukanda wetu wa kusini (SADC) na hiyo ndiyo sababu ya huo msururu wa meli. Bandari tunazo tatu na ufanisi unaongezeka.
Mwisho wa siku mnacollect Less than 20m teus,
Iyo yote unasema ni story.
Poor efficiency ndio key word.
 

Inasikitisha serikali yetu inashindwa kutoa takwimu za wagonjwa wanaotoka nje ya TZ kuja kutibiwa TZ,pale taasisi ya moyo ya jk kuna wakunya kibao wanapewa refarral kutoka naipori na kuja TZ,tena wanaandikiwa india au TZ mtu anaangalia gharama yake na wengi uprefer kuja TZ,kuna mmoja aliniambia india gharama india ni kubwa so ndio maana kaja TZ kafikia kwa ndugu zake anaenda muhimbili kwenye mazoezi na kurudi home mpaka atakapofanyiwa operation,na alifikia pale magomeni mapipa
 
Mizigo gani ya maana inaenda burundi?
Iyo pesa jengeni roads na electricity kwenu ifike 90%>
Pia muondoe uswazi nchi mzima.
Tatizo lako wewe linalokusumbua ni chuki na wivu wa kike uliopitiliza, huwezi kukubali kwamba umeshindwa, mwisho wa siku utakimbia jamiiforums kisa Kenya kushindwa na Tz, usenge huo. Kubali kushindwa, jifunze kupitia makosa zen move on.
 
Back
Top Bottom