Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Azam icecream majengo mombasa 😁😁
Screenshots_2023-12-12-19-38-28.png
 

View: https://twitter.com/ViwandaBiashara/status/1734297867261497598
Ameyasema hayo Desemba 11, 2023 alipotembelea Kiwanda cha Saturn Corporation limited kilichopo Kigamboni Dar es salaam lengo la kuangalia ujenzi unaoendelea katika Kiwanda hicho kinachounganisha magari ya SINOTRUCK aina ya Howo na Tipper .
hicho cha kuunganisha magari kitatumia malighafi za vioo kutoka viwanda vya ndani na kinatarajiwa kuuza bidhaa zake ndani ya soko la EAC na Afrika na hivyo kuchangia kukuza biashara na uchumi wa taifa kwa ujumla.
Naye Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kiwanda hicho Bw. Rehmatullah Habib Mouna amesema kiwanda hicho kikubwa Afrika Mashariki na Kati kitaanza kufanya kazi rasmi Machi 15, 2024
jiweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee 😁 😁 😁 😁 😁 😎 😎 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom