Hata cocacola pia wanatoroka Russia japo wapo katika karibu nchi zote duniani?
kwa kweli hiyo nayo ni hoja pia mkuu,inabidi lizungumzwe hiliView attachment 2143893
Hapo kuna nini mpaka kumeremete hivyo? Maana hiyo siyo Kinshasa wala Brazzaville.
Walianza kipishana wao kwa wao, uzuri watz hatukureact kwachochote tulibak tunawatazama tuWakati ndio wameongeza ufuasi![]()

Hii itakua the first most modern highway rest area probably in the whole region though najua private rest areas kama za Mombo, Chalinze zipo in hundreds nchi nzima kwa ajili ya regional busesNew Kikafu bridge
View attachment 2143839
Proposed New Kikafu Bridge, Kilimanjaro
© JICA, 2016
According to a 2016 Japan International Cooperation Agency's (JICA) supplemental study for the implementation of Arusha-Holili Road Improvement Project, the New Kikafu Bridge will be constructed by the Japanese as they are considering the improvement of the remaining Tengeru-Holili section (102.1 km) and access road to Kilimanjaro International Airport (5.7 km) as a loan project. However, this depends on the project approval process to fulfil the requirements set by JICA’s manuals and guidelines.
There is high potential that the newly built Roadside Station adjacent to the bridge will be a tourist attraction place since both Arusha and Moshi have a number of tourist destinations that include National Game Parks and Mount Kilimanjaro. Therefore, a new Roadside Station can provide a rest place for tourists, motorists, passengers, and other road users with a good scenery of Kikafu Bridge with the background of Mount Kilimanjaro.
View attachment 2143841
Source
Maana halisi ya regional hub,
Tanzania the gateway to Eastern, Southern and Central Africa
Burundi unajua Gdp yake ni $3 billion? Huwa mnatutishia na Burundi hadi nasikia kucheka. Gdp ya Kenya ni kubwa kushinda ya Burundi zaidi ya mara 35. Mradi ni tembo mweupe ukizingatia kwamba Burundi haina uwezo wa kifedha wa kujenga reli hio. Angalau DR Congo wana uwezo. Lakini jengeni tu yote ni maendeleo ya Afrika na sina tatizo nikiona Afrika ikisonga mbele.Tony254 bado unatafuta matumizi ya umeme wa Nyerere Dam?
Zaidi ya kilometers 1000 za electric SGR cutting across Burundi to DRC na ile ya Rwanda zitatumia umeme wa Tanzania tena usishangae zikatumia mpaka trains za TRC sababu najua chumi za hizi nchi haziwezi kugharamia in ujenzi wa SGR na kununua coaches and locomotives
Naona TRC ikichukua lion share kwenye hii regional project, Tanzania domination is so visible here kwenye regional logistics
Hii helicopter pia utapinga kwamba sio ya Russia iliyopigwa kombora safi takatifu ikaenda kuangukia huko mbele?
Wakamalizie yule ng'ombe wao(COW) ci walijiona wanaweza....idiots
Akishafanya hvyo tushtueJoe Biden leo anatarajiwa kutangaza kwamba USA watawacha kabisa kununua mafuta na gesi kutoka Russia.
Burundi haina uwezo wakati ujenzi unaanza? 😂😂😂😂😂Burundi unajua Gdp yake ni $3 billion? Huwa mnatutishia na Burundi hadi nasikia kucheka. Gdp ya Kenya ni kubwa kushinda ya Burundi zaidi ya mara 35. Mradi ni tembo mweupe ukizingatia kwamba Burundi haina uwezo wa kifedha wa kujenga reli hio. Angalau DR Congo wana uwezo. Lakini jengeni tu yote ni maendeleo ya Afrika na sina tatizo nikiona Afrika ikisonga mbele.
Endelea kuangalia CNN na BBC
Sipo sure kwa sababu hii ni breaking news lakini kulingana na ninachosoma Twitter ni kwamba all foreign currencies haziwezi kununuliwa Russia hadi September. Transactions zote lazima zifanywe kwa kutumia rubles. Wacha nitaconfirm kesho kama yuan pia imezuiliwa. Lakini hata kuzuiwa kwa dollar na Euro pekee bado ina impact kubwa sana kwa uchumi wa Russia ukizingatia kwamba Russia huwa inaimport technological products and machinery hususan kutoka Germany na The West in general.
KweliUhaklika wa kula ni moja ya mambo muhimu ya kumpa mtu faraja inayomjengea afya njema kwakua unakua na furaha muda mwingi inayokujengea sura nzuri tangu mdogo, Pia chakula bora.
Sasa Mungiki, msosi tu wa kawaida ni dili tangu anazaliwa, anakuwa na uso wa huzuni, frustration, hasira. Unakuta kijana mdogo kachakaa na ana sura ya mbuzi!










Sisi huku Tz tunakula purchasing power parity, gdp hatumjui na tuna survive mwaka mzima na PPP yetu kazi ipo kwenu na gdp ya mchongo lazima mfe njaa.Hivi tony ww unaweza survive na $1800 kwa mwaka mzima?hela kiduchu namna iyo unaishije? Kenya is poor as tz ila hali ni mbaya zaidi tz
Heading to its rightful place though still managed.
Sisi waafrika ndio tutapoteza sana kwenye hii vita kuliko europe na marekani maana wao wana chumi stahimilivu.I think Europe na marekani Ndio watapoteza zaidi kwenye hvi vikwazo
So many Nairobians are cramped up in a small space hence the intensity of light increases.You tell me why is it that dar is more than twice the size of nairobi but way less lights at night, coz facts dont lieView attachment 2143743