Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania wanauliza hapa kila saa eti Wakenya wapo wapi.
Muelewe Wakenya wapo kwenye mambo ya Middle Income nyie bado mwafanya mambo ya LDC hatufanani vile.

Mwinyi leo ameingia hapa Uhuru Garden akadhani yupo Marekani. Mwenyewe alikiri. Nenda amuulize kama utaweza.

View: https://youtu.be/0M_aS5YMoPc?si=6CwEp7KWj5XUACLQ

Nataka nikupongeze ndugu yangu mkunya kwa kuona fursa na kuichangamkia. Hongera sana! Naona kama ni wewe na explore with bertin ndo mmechangamkia fursa. Hongereni sana na kila la kheri. Mpige hela za YouTube vizuri 👌👍
 
Miaka ya 80 na 90 hapo meli hazikuzidi tatu zikisubiri, kwa hoja yako kipindi hicho kulikuwa na efficiency?
His point is, an efficient port doesn't have so many ships waiting in line. Hata wakati huo mkiwavna three ships in line bado mlikuwa tu inefficient. Wacha kutetea inefficiency
 
Back
Top Bottom