Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwamba mmenikumbusha Mambo mengi sana
Daah umenikumbusha issue ya covid nlikuwa natimba kariakoo job jioni nakula chai nzito ya tangawizi na limao maisha yalienda poa walitusema tutaokokwa kama mzoga ila mungu mkubwa tulivuka Mwenyenzi Mungu amlaze mahala pema peponi yule mwamba aisee alivaa ubaba wa familia na tukavuka pamoja asante kwake sana.
 

Attachments

  • 1701637248775.jpg
    1701637248775.jpg
    27.3 KB · Views: 5
Vitu vya mchina ni fake huku jf tu, ila ndio mkombozi wao Hadi ikulu kummmke Tena mbele mlango wa kuingia ndani🤣🤣 aisee hii ni humiliation
View attachment 2832203
Harafu huyo first lady Si ofisi yake imejaa utitiri wa wafanyakazi utafifikiri wizara ya tamisemi kwa bongo Sasa hiyo pesa anayowafisadi wakenya nj Kubwa mara elfu kuliko hicho kijimsaada Cha wachina
 
Back
Top Bottom