Stay tuned Kwa breaking news Saa Tisa kasoro Noble Helium(NHE) wanatoa taarifa rasmi za uthibitisho wa kama wamegundua Helium kwenye visima vyao 2 walivyochimba Bonde la Rukwa vya Mbelele-1&2.
Vikifaulu kuwa Bull case itakuwa ugunduzi mkubwa zaidi na WA kutosha Kwa Ajili ya kuanza uzalishaji wa kibiashara yaani reserves yake inaweza fika 15.7Bcf(1/3 ya current global supply).
Nawakumbusha tuu kwamba Bonde la Ziwa Rukwa linakisiwa kuwa na helium gas reserves ya 176Bcf.
Hii ikifaulu itakuwa habari nzuri sana Kwa Tanzania.
View: https://twitter.com/Noble_Helium/status/1731576572086247572?t=mrUfoka9cpfAijYJ7e01ZA&s=19