Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Now this is the real middle income country we are talking about. Even the ground breaking for this building hasn't happen but already the first five floors and last two floors have been fully sold.

Another 30 floors building coming up in Westlands.
IMG_20231013_150936.jpg
IMG_20231013_164351.jpg
IMG_20231014_094554.jpg
 
Labda kipindi Cha kwanza ila second Half hakuna kitu,waliokata moto mapema sana.

Na hii biashara ya kusema sijui amechezea mpira mkubwa Haina faida kwenye haya mashindano.

View: https://twitter.com/CloudsMediaLive/status/1731032813850280177?t=Hk_sudaVtTr0_RJdBCSBsQ&s=19

So na goli la yanga lilifungwa kipindi gani ??
Ww punguza bangi kwa level ya yanga kuringanisha na ahly yanga kacheza mpira mkubwa sana wao wenyewe wanaondoka hawaamini nimeskia mpaka baadhi ya mashabiki wao wanasema wameshangaa sana kuona yanga imecheza mpira vile 😅😅

Ww ulitegemea yanga wangerudisha goli dakika zile ?? Na huo ndio ukomavu wa football, unatuletea link za wachambuzi wasiojua hata kuchambua maisha yao🤣🤣

Na hakuna kundi gumu kama kundi la yanga unajua kwann? kundi la yanga team zote ni mabingwa kwenye nchi zao
 
I don't discuss about cheap buses. Again Irizar is in Zambia, Zimbabwe, Angola, Botswana, Mozambique na Swatziland. Na ujue hao hawana Irizar Moja kama nyinyi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
7km serious?? Waziri ? Ebana he is not serious😅
Unatakaje? Au Chalamila ndo mtu serious kwako? Mimi naona yuko njia sahihi kuwa-push makandarasi wa kichina kuja na mipangokazi ya kumalizia miradi yao iliyochelewa!
 
Back
Top Bottom