chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,674
- 45,902
Kunyaland tofauti ni Kenya yenyewe hakuna pengine Mombasa port Inapahudumia sababu hata mganda tayari tunae ila utawasikia wanavyojitapa eti logistics hub ya EA 😂😂😂
Noma sana kaka alikuwa mzuri kwenye visionary projectsChuma kilikaa madarakani miaka mitano tu impact yake italisaidia taifa kwa zaidi ya miaka 500 ijayo, hakika tunamshukuru Mungu kwa zawadi hii.
Treni zenu ni second hand huko zilikotoka sio hapa zilipo, ndio maana hakuna hata siku 1 ilishawahi kuzidi speed 100/hrSasa dashboard pia imeanza kuwavhanganya. Mmepata our diesel locomotive has a more detailed dashboard kuliko hiyo yenu ukaogopa😂😂
View attachment 2831389View attachment 2831390View attachment 2831391
Naona dashboard ya Jongoo inaonyesha kuanzia speed ya 160 na kuendelea ni nyekundu hatari wasijaribu 😆😆😆Good morning, won't get tired to remind you all that. Electric locomotive has a lower speed limit as compared to Diesel locomotive.
View attachment 2831086View attachment 2831087
Sio wewe huyu, haya rudia hii kauli yako kwanza👇👇🤣🤣🤣🤣The fact remain that our diesel locomotive is superior to your electric locomotive speedwise.
Does this screenshot dispute that our trains have higher speed limit than your trains?😂😂😂Sio wewe huyu, haya rudia hii kauli yako kwanza👇👇🤣🤣🤣🤣View attachment 2831459
Pole ndugu😂😂😂Treni zenu ni second hand huko zilikotoka sio hapa zilipo, ndio maana hakuna hata siku 1 ilishawahi kuzidi speed 100/hr
Roho inamuuma sana, anatafuta pa kutokea lakini wapi!Sio wewe huyu, haya rudia hii kauli yako kwanza👇👇🤣🤣🤣🤣View attachment 2831459
Wala usitafute mganga eti umerogwa hapana, mchawi wako huyu hapa🤣🤣👇👇
😅😅😅😅😅 nchi ya GDP nchi tajiri
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1728337947756277823?t=Ub7s_kP2ue51sVhr0FjHMw&s=19
Treni yao inaendeshwa na upepo piaBado unataka kuendelea kujiabisha.. give me reason, why trains zikiwa kwenye line haiwezi kuvuka 140km/h (yan kwa uwezo wake wote, yan tuseme "unakanyaga gear" hadi mwisho, bati, haifiki 140km/h).. mim siongelei suala la kupata ajali na train ya mizigo, naongelea uwezo wa kutovuka 140km/h (hapa naona unatafuta kichaka cha kutaka kupotea)
Train yetu ina 160km/h capacity, lkn umesema haivuki 160km/h. Yenu ina 120km/h capacity.. lkn dereva "akikanyaga" bati itavuka hadi 157km/h, maajabu au sayansi ya wapi hii?
Waache wajaribu kujifanya kushindana😁😎...ni nyekundu hatari wasijaribu 😆😆😆
Na haifiki hio average speed 😅😅😅
Ikifika 100 tu vibration yake balaa
View: https://twitter.com/Kipkiruiroyal/status/1730824720512073776?t=QGAbi12nexe14LiiqvQkbA&s=19