ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Yani wasanii wakawaida tu tanzania
View: https://www.instagram.com/p/Czb0uwSrXJD/?igshid=ajBvaDZsbHBnMXY4
View: https://www.instagram.com/p/Czb0uwSrXJD/?igshid=ajBvaDZsbHBnMXY4
Mwenyekiti ichoboy01 nimeona hii video ya bwana H.baba in Rock City 👇
View: https://www.instagram.com/reel/CzdGb_ktCbW/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==.
Nairobi is bling bling ....
lol...whats this
ndio mnafungua branch ya central bank yenu....oh myMore pictures of central bank of Tz Mwanza branch View attachment 2808970View attachment 2808967View attachment 2808968View attachment 2808969.. NairobiWalker. Njoo uku uumie zaidi 🤣🤣 hii joke yenye 👇View attachment 2808973
Ww umeona nn au bado tongotongo hazijatoka machoni 🤣🤣🤣🤣🤣lol...whats this
Hujui chochote BOT inabranch 7 kubwa kuliko hiyo central bank yenundio mnafungua branch ya central bank yenu....oh my
Kama una shida na Mwenyekiti wetu ichoboy01 nipo mimi Bwana Shemeji Mwai………bottom line ni kwamba dadako kaishashoboka na wabongo na lazima tumpe raha utake usitake😂😂😂😂TRUE STORY… I thought it was kind of funny to share it here…. I had a phone conversation with my Cuzo who recently relocated to Dar ( Kenya Embassy)…I was asking about the Fishing village she lives in and in the middle of our conversation she tells me she met this nice guy in Dar and they have been in 2 lunch dates already, actually the second one was yesterday… I didn’t like that …🤣🤣… I told her I don’t believe it.. so she sent me a photo of them two in some fancy place in downtown Dar…. Shockingly enough , I thought the image was Ichoboy ..🤣🤣…. I told her .. Hell to the No you can’t go out with that evil guy… she was surprised like I knew him.. so I told her to ask him if his name was Ichoboy … apparently it was not… but still am not sure yet.. So Ichoboy ,am watching you..🤣🤣… My Cuzo is still in dilemma about my hostile reaction… I just told her even if I was to explain about it, she would never understand…. The battle is real …🤣🤣🤣🤣
Tanzania ni kama maji, hata usipoyaoga utayanywa tu. Huwezi kuishi ukandaa huu alafu Tanzania isiwe relevant kwako, kwa namna yoyote ile utaihiitaji tu, uwe mwanasiasa, mfanyabiashara, au hata mwananchi wa kawaida, Tanzania itakugusa tu utake usitake. Ila Tanzania ndio nchi pekee ukanda huu ambayo inaweza kusurvive by its own, a very self sufficient country!!Mna miaka 500 kufikia football ya TZ,hao wakenya wenzako wakijidai na Yanga yao,binafsi siijui hata jina la timu 1 toka kundustan