Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

20231201_212612.jpg

TRA wanajambo lao kimyakimya
 
Na kila kiongozi sasa, anajua hatuwezi mwelewa chochote maana tuliona kinafanyika kwa magu, so kuepuka sifa mbaya ndio unaona Tz miradi inatandazwa na Lazima ikamilike ole wako isikamilike matusi na puplic outrage ni mbaya, sasa isipokamilika utawapa sababu gani wananchi wakuelewe ikiwa kwa Magu kitu inafunguliwa mwisho hiyo inatumika.


Alafungua Stand ya DSM now tunaitumia, Nyegezi now tunaitumia, Dom now tunaitumia, Zamani tulikua tunalingia Moro tu, ila Now moro kama outdated vile.

Nakumbuka Wami ajali nyingi, ikategwa fund, now pita wami pamenyooka sio threat tena.

Yaani the best things ni yeye kua Raisi, na kutufungua macho.
hayaa sasa wami unapita hata na phonex kabisa saa 7 usiku usalama upo na camera 24\7
 
Huu ni ushenzi mkubwa na udhalilishaji mkubwa.
Imagine et truck chafu ilio beba matank ya maji ije ipaki mbele mlango wa ikulu ya Tanzania na tushikishwe Bangor la donation aisee Nyerere atafufuka
Yani sijui Hawa wenzetu ikulu Yao ni kama choo tu huku bongo ukipita na gari lako kifala kwenye barabara iliyo karibu na ikulu ni shida
 
Back
Top Bottom