Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu hiyo NCHI ya GDP kubwaaa, yenye ugomvi na madirisha kwa maghorofa, ya ngijangija, yenye flying toilet, Yenye kupaka rangi ya nyumba bus.

Hakuna sehemu nyingine nchi nzima ya kupokelea msaada zaidi ya Ikulu, ni aibu sana kuletewa Sim Tank aka madumu makubwa na viroba vya unga Ikulu, na picha inaenda hewani.

Bongo sijawahi ona Ikulu inapokea vitu may be nionyeshwe, mara nyingi misaada inapokelewa site inayoenda, na either kiongozi wa chini zaidi.

Alafu humu wanakaza fuvu, eti Nchi kubwaa.

Naona siku hizi wanaidharau ile EACLA Pale Ubungo ngoja ikamilike wajue ni Mall ipi inaingiza pesa EA.
Ikikamilika watajua hawajui. the giant ufunguo alikuwa ni magu na giant lishaamka kila kiongozi anayekuja anataka awe mfano.
 
Unajiuliza hapo kuna nini kichwani mwao, eti kuna mwingine alisema Kenya is 30 year ahead of Tanzania, whatever in Tanzania is already in Kenya, akatandikwa swali BRT ipo tuanzie hapo, hukuonekana tena.

Kuna wajinga waliichukua Tren ya mkoloni wakaanza kusema TZ tuko nyumaa mara Garimoshi lao liko 30 year ahead, unajiuliza vipi, hawajui kwamba sisi zamani tuliona reli ya mkoloni inasumbua tukaanza on scratch na ELECTRIC SGR njia ile ileee.

Alafu hapo mpumbavu kasema Already in Kenya, hua najiuliza kuna tatizo gani vichwani mwao.
Mkuu kuna baazi ya vitu nilikuja navyo ukunyani kwa ajili ya kazi zangu ila cha kushangaza kuna mkunya tunae kwenye field tayar kasema ni fake sijui kwa kuwa mimi mbongo?🤓🤓🤓nilikaa kimya sikumjibu baada ya muda kaona aibu nakuja kuomba msamaha eti nili misquote kauli yake😅😅
Kama kuna viumbe hasidi na wenye wivu ukanda wa subsaharan Africa ni wakunya😃
 
Ni wabishi wakuzaliwa hawa majitu walilishwa propaganda potofu juu ta Tz sasa hivi wako kwenye reality check akili zimewaruka 🤣🤣🤣
 
Ikikamilika watajua hawajui. the giant ufunguo alikuwa ni magu na giant lishaamka kila kiongozi anayekuja anataka awe mfano.
Tunashukuruuuu sana Magufuli kuwa Raisi, maana ametufungua macho sana, amekua vivid example kwa kila maendeleo, so kiongozi akileta mbamba tunamtandika, Imagine Samia alitaka badili sheria ya Magufuli kisa DP world, dah je, hiyo sheria isingewekwa tungeenda na maji.

Now kiongozi ukileta kisingizio cha kukopa sana tunakuuliza JHNPP, LOT 1 ya SGR vipi pesa za ndani?

JHNPP ilipata upinzani sana sidhani kama ingepewa fund na wazungu ndio sababu ilikua inafanya isifike popote, ila mwamba kawasha.

Wakunya wana miaka 13 na kujenga kaCity kao, ila mwamba DOM kaifanya iwe ukweli sana ndani ya kipindi kifupi.

Namkubali sana kwa Uzalendo, tunaomba Raisi mwingine hata nusu yake, na hiyo nusu iwe kwa misimamo.

Kichwa kimoja hatari lile sakata la COVID asee kila nikifikiria navua kofia ilikua akili kubwa.

Ona sasa kunyan walikua wanatutukana now ukiona madhara wanayoyapata sasa yametokana na kufata fata kila kitu cha mzungu. Wakati sisi kazi inafanyika wao wanapigana Lockdown mchana.
 
Mkuu kuna baazi ya vitu nilikuja navyo ukunyani kwa ajili ya kazi zangu ila cha kushangaza kuna mkunya tunae kwenye field tayar kasema ni fake sijui kwa kuwa mimi mbongo?🤓🤓🤓nilikaa kimya sikumjibu baada ya muda kaona aibu nakuja kuomba msamaha eti nili misquote kauli yake😅😅
Kama kuna viumbe hasidi na wenye wivu ukanda wa subsaharan Africa ni wakunya😃
Ego mkuu inawasumbua.
 
Aki kunyans wanachekesha sana eti electric trains kama za kenya 🤣🤣🤣.

Nyangau tumewashika pabaya sana mpaka wanachanganyikiwa🤣🤣🤣
Acha tuzidi kuwa enjoy mkuu wanatumia nguvu nyingi sana while Tanzania vitu vina flow bila struggle tumshukuru mungu japo tumechelewa ila speed tunayo kuja nayo ni zaid ya magari ya formula one.
 
Na kila kiongozi sasa, anajua hatuwezi mwelewa chochote maana tuliona kinafanyika kwa magu, so kuepuka sifa mbaya ndio unaona Tz miradi inatandazwa na Lazima ikamilike ole wako isikamilike matusi na puplic outrage ni mbaya, sasa isipokamilika utawapa sababu gani wananchi wakuelewe ikiwa kwa Magu kitu inafunguliwa mwisho hiyo inatumika.

Alafungua Stand ya DSM now tunaitumia, Nyegezi now tunaitumia, Dom now tunaitumia, Zamani tulikua tunalingia Moro tu, ila Now moro kama outdated vile.

Nakumbuka Wami ajali nyingi, ikategwa fund, now pita wami pamenyooka sio threat tena.

Yaani the best things ni yeye kua Raisi, na kutufungua macho.
 
Tunashukuruuuu sana Magufuli kuwa Raisi, maana ametufungua macho sana, amekua vivid example kwa kila maendeleo, so kiongozi akileta mbamba tunamtandika, Imagine Samia alitaka badili sheria ya Magufuli kisa DP world, dah je, hiyo sheria isingewekwa tungeenda na maji.

Now kiongozi ukileta kisingizio cha kukopa sana tunakuuliza JHNPP, LOT 1 ya SGR vipi pesa za ndani?

JHNPP ilipata upinzani sana sidhani kama ingepewa fund na wazungu ndio sababu ilikua inafanya isifike popote, ila mwamba kawasha.

Wakunya wana miaka 13 na kujenga kaCity kao, ila mwamba DOM kaifanya iwe ukweli sana ndani ya kipindi kifupi.

Namkubali sana kwa Uzalendo, tunaomba Raisi mwingine hata nusu yake, na hiyo nusu iwe kwa misimamo.

Kichwa kimoja hatari lile sakata la COVID asee kila nikifikiria navua kofia ilikua akili kubwa.

Ona sasa kunyan walikua wanatutukana now ukiona madhara wanayoyapata sasa yametokana na kufata fata kila kitu cha mzungu. Wakati sisi kazi inafanyika wao wanapigana Lockdown mchana.
Daah umenikumbusha issue ya covid nlikuwa natimba kariakoo job jioni nakula chai nzito ya tangawizi na limao maisha yalienda poa walitusema tutaokokwa kama mzoga ila mungu mkubwa tulivuka Mwenyenzi Mungu amlaze mahala pema peponi yule mwamba aisee alivaa ubaba wa familia na tukavuka pamoja asante kwake sana.
 
Yeah, ni moja ya Iconic decision yake, imagine homa ya maburg Samia angejifanya kutupiga Lockdown tungemwelewa?
 
Vitu vya mchina ni fake huku jf tu, ila ndio mkombozi wao Hadi ikulu kummmke Tena mbele mlango wa kuingia ndani🤣🤣 aisee hii ni humiliation
F_xKHC8WMAAiFwH (1)_1.jpeg
 
Back
Top Bottom