Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aisee wakunya msitufanyie hivo basi😁😁😁😁
IMG_6305.jpeg
IMG_6125.jpeg
IMG_6056.jpeg
IMG_6033.jpeg
IMG_6350.jpeg
IMG_6347.jpeg
IMG_6306.jpeg
 
Imagine et truck chafu ilio beba matank ya maji ije ipaki mbele mlango wa ikulu ya Tanzania na tushikishwe Bangor la donation aisee Nyerere atafufuka
Yani sijui Hawa wenzetu ikulu Yao ni kama choo tu huku bongo ukipita na gari lako kifala kwenye barabara iliyo karibu na ikulu ni shida
Yani huku Tanzania hao wote wangetiwa ndani wawe deported wote na msaada wao kuchomwa moto.

Sisi maskini lakini hatutaki dharau na fedhea kama hizi.
 
Back
Top Bottom