Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This bus is only available in two countries south of Equator.

South Africa
1701557676933.jpg


Kenya
1701019260808.jpg
 
Nilisema wakundustan wakijua nusu tu ya miradi inayoendelea Tanzania kwa sasa wangeandamana mwezi mzima kuiondoa serikali yao madarakani, sasa mnajionea yanayoendelea EA on social media baada ya kuona tunatest mitambo 😂😂😂
 
Bado mpo kwenye enzi ya analogy dashboard kweli mchina kawafanyia ukatili mkubwa sana
Hiyo dashboard ya trains zetu is more modern and detailed kuliko hiyo yenu. No wonder wengi wenu walishangaa vile waliona hadi wakasema sio ya trains za Kenya.
 
Back
Top Bottom