Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkunya anabeza bidhaa ya china 🤣🤣🤣🤣🤣 while kila unachopost kujisifu nacho humu ambacho at least ni competitive to ours ni Chinese made. SGR, GTC towers, express way.. au unaongea hivyo kwasababu unaona kushindwa.? 🤣🤣 Maneno ya mkosaji. Sizitaki mbivu hizi ..
Huko umeenda mbali sana.
Simu anayotumia tu utakuta ni made in China. 😂😂😂
 
Unaweza vipi kushindana na Tz likija suala la buses. Sio private sector wala public, kote huko hatushikiki. Heb cheki 👇
Bus-Rapid-Transit-BRT-project.jpg
EX-7nIDVAAMd84c.jpg
hizi BRT buses pekee are more 300. Hiyo ni kwa phase 1 tu.. phase 2, phase 3 and phase 4 are under way, while phase 5 n phase 6 soon zitaanza ujenzi. ichoboy01. Hawa vima hawatuwezi Leo na wala hawatotuweza kesho mana hizi basi hamna hamna hadi tumalize phase zote zitakua zimeshafika 3000+ wao wapo busy kutuonyesha vibasi 20. 🤣🤣🤣 Haya ukija mabasi ya masafa marefu Tz kuna Kampuni 100+ yani kwasasa Tz ukihesabu mabasi ya mkoa tu unaweza kuta yanafika 2500-3000. Na kampuni mpya zinasajiliwa kila siku. Kuna kampuni mpya nimeiona pale urafiki juzi, nikapata wasaa wa kupita maeneo yale nitapiga picha gari zao
 
Unaweza vipi kushindana na Tz likija suala la buses. Sio private sector wala public, kote huko hatushikiki. Heb cheki 👇View attachment 2812431View attachment 2812433hizi BRT buses pekee are more 300. Hiyo ni kwa phase 1 tu.. phase 2, phase 3 and phase 4 are under way, while phase 5 n phase 6 soon zitaanza ujenzi. ichoboy01. Hawa vima hawatuwezi Leo na wala hawatotuweza kesho mana hizi basi hamna hamna hadi tumalize phase zote zitakua zimeshafika 3000+ wao wapo busy kutuonyesha vibasi 20. 🤣🤣🤣 Haya ukija mabasi ya masafa marefu Tz kuna Kampuni 100+ yani kwasasa Tz ukihesabu mabasi ya mkoa tu unaweza kuta yanafika 2500-3000. Na kampuni mpya zinasajiliwa kila siku. Kuna kampuni mpya nimeiona pale urafiki juzi, nikapata wasaa wa kupita maeneo yale nitapiga picha gari zao
Muulize mabasi mangapi yanapiga route za kunyaland? Sisi tuna sai baba , dar lux,dar express ,tahmeed na kidia one hawana huo uwezo ni maneno maneno tu! Tuache hayo mazingira ya wenzetu mtihani kwa kweli
IMG_5999.jpeg
IMG_6001.jpeg
🤓🤓🤓🤓
 
Muulize mabasi mangapi yanapiga route za kunyaland? Sisi tuna sai baba , dar lux,dar express ,tahmeed na kidia one hawana huo uwezo ni maneno maneno tu! Tuache hayo mazingira ya wenzetu mtihani kwa kweliView attachment 2812448View attachment 2812449🤓🤓🤓🤓
Sijawahi kuona wala kuskia any Kenyan bus company yenye route za kuja Bongo. Probably hakuna. 🤣🤣🤣
 
Muulize mabasi mangapi yanapiga route za kunyaland? Sisi tuna sai baba , dar lux,dar express ,tahmeed na kidia one hawana huo uwezo ni maneno maneno tu! Tuache hayo mazingira ya wenzetu mtihani kwa kweliView attachment 2812448View attachment 2812449🤓🤓🤓🤓
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
 
Wapi za Ukunyani? Level yenyu ni Isuzu chassis Tuzo mini buses! Hamna kitu mnajua Fly540 saahii ipo bankrupt!
We Tanzanians trust Scania and Merc models for long safari because they are comfortable, reliable halafu zinatembea sana. Of late Chinese especially Yutong has proven its worth on Tanzanian roads and terrains, maintenance is also affordable.
 
Kama tofali zenyewe ni za tope wapi atoe pesa ya kuweka dirisha la kioo 😅😅😅

Magorofa mengi ya vioo ni wawekezaji kutoka nje mfano GTC, britam tower etc

Na mengine utakuta ni ya serekali nje ya hapo utakuta magorofa ya matope kila kona
Kuna mtaa unaitwa umoja Sijui, huyu kima Nicxie alipost in comparison to magomeni.. huo mtaa ni full of that kinda buildings, matope thing. 🤣🤣 Take a look 👇
Umoja-a-district-of-Nairobi.jpg
064c0af4f4fe7f-prime-plot-for-sale-umoja-nairobi.jpg
MG_1189-Umoja-Innercore-View.jpg
Umoja-estate-Nairobi-makaobora.jpg
🤣🤣🤣 Dah.!! Cheapest mult storeys buildings on earth.
 
Back
Top Bottom