Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani ikilazimu ku upgrade kuwa Sgr ya kawaida kama ya Wakunya ita cost kipi zaidi ya kubadili hizo rails, slippers na mifumo?

Maana tuta lipo ambalo ndio gharama ni maboresho madogo madogo yatahitajika.

Nahisi Tanzania na Zambia nao watachangia Kwa sababu nilisoma somewhere kwamba wata upgrade kuwa Sgr but hicho kiasi ndio Sina hakika nacho.
Kubadili kuwa SGR kama ya Kenya sio gharama kubwa hapo ni slippers tuu za SGR zinahitajika. Ila huko SADC wanatumia Cape gauge ikiwa SGR haitaweza ku operate seamlessly
 
Kwani ikilazimu ku upgrade kuwa Sgr ya kawaida kama ya Wakunya ita cost kipi zaidi ya kubadili hizo rails, slippers na mifumo?

Maana tuta lipo ambalo ndio gharama ni maboresho madogo madogo yatahitajika.

Nahisi Tanzania na Zambia nao watachangia Kwa sababu nilisoma somewhere kwamba wata upgrade kuwa Sgr but hicho kiasi ndio Sina hakika nacho.
Matuta ya standard na cape gauge hayafanani, huwezi tuu kufumua na kubandika reli moja na kuweka nyingine. Pili, Tazara walitumia cape guage sababu nchi zote za kusini mwa Afrika (SADC) wanatumia standard hiyo.

Kwa cape gauge, unaweza kwenda Harare, hadi Cape Town kutokea Dar, hivyo kuibadilisha TAZARA kuwa SGR itakuwa ukifika kapiri mposhi mchezo umeisha. Kwa ushauri wako, hata ile train ya utalii ya ROVOS haitaweza kufika tena Tanzania na mama Samia atakufukuza kazi yako ya kupiga domo, maana unatoa ushauri mbovu kwenye sera zake za utalii.
 
Matuta ya standard na cape gauge hayafanani, huwezi tuu kufumua na kubandika reli moja na kuweka nyingine. Pili, Tazara walitumia cape guage sababu nchi zote za kusini mwa Afrika (SADC) wanatumia standard hiyo.

Kwa cape gauge, unaweza kwenda Harare, hadi Cape Town kutokea Dar, hivyo kuibadilisha TAZARA kuwa SGR itakuwa ukifika kapiri mposhi mchezo umeisha. Kwa ushauri wako, hata ile train ya utalii ya ROVOS haitaweza kufika tena Tanzania na mama Samia atakufukuza kazi yako ya kupiga domo, maana unatoa ushauri mbovu kwenye sera yake za utalii.
sijui kwanini watu wa huko hawaelewi hii maneno!
 
Watu wanapoona tuta la reli wanafikiri watu walijiamulia tuu kujaza udongo kama vile wanalima matuta ya mihogo.
Halafu hiyo iliyopo inaweza kuwa electrified na kuimarishwa ikabeba mzigo mzuri tu! Yaani kwetu kuwa na Cape Gauge ni advantage kama tunataka kuhudumia SADC! Unless SADC wabadili reli yao kuwa SGR ndo nasisi tubadili!
 
Ignore the Gor Mahia bus, the only steel overpass in East Africa. Behold.

399788874_1448669892375342_2716048838025264727_n.jpg
 
Back
Top Bottom