Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,520
- 5,872
Hivi we jamaa huaga unajielewa? Tofaut ya muundo wa hiyo na ena ni iPi?China anatengeneza chochote lakini mabasi wanauzia Tanzania ni fake. Hii ni Marcopolo G7 ya aina gani Sasa? Face ni Marcopolo and the rest of the body ni Zhongton 😂😂😂
View attachment 2812364