Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama wewe umekuwa Nairobi utakubali kwamba, hata kama kuna mapungufu, Nairobi ni zaidi ya Dar kwa mengi.

Watanzania mbona unafiki na kujifariji!?

Nicxie umepost hiyo video na inaumbua Dar kuumbua.

Mfano, jamaa hapa kila saa Kenya kuna njaa ila ona vile wanavamia mzungu kumuuliza pesa na chakula 😳 na hapo ni Dar
View attachment 2812268

View attachment 2812270
View attachment 2812274

Eti vumbi Nairobi, ila CBD Dar sasa
View attachment 2812271View attachment 2812272View attachment 2812273
View attachment 2812275
Sasa hii ni nini!? 😳😳😳😳😳😳😳
Huyu mzungu naye!!!!
Machozi yamekutoka kwa kuumbuliwa hebu ww niambie yale matoroli yote yanabeba nini mjini kama sio maji kupeleka CBD au unabisha ??😅😅😅😅😅😅
 
Narudia kukwambia hvi ww hata ugaregare huwez mfikia china kwenye kutengeza bus au kutengeza body za bus mark my words

Dunia nzima sasa hvi inatumia kila kitu kinachotoka china iwe gari iwe spare parts iwe simu iwe technology iwe kitu chochote ndio maaba hata train zenu zinatoka china na ukiangalia manufacturing date utaambia ni 100yrs ago lakini kwasabbau akili zenu zimejaa upepo mukanunua hvo hvo 😁😁😁
Sijakataa, but kitu unafaa ujue ni kuwa mabasi mnauziwa kutoka China ni fake.😂😂😂
 
Kama somo umeelwa basi ujue china anatengeza chochote na hii hapa aseemhly plant ya marcopolo china 😅😅👇👇

View: https://youtu.be/2qMm5RAnYzU?si=-89LWW_49NCqOn2k

China anatengeneza chochote lakini mabasi wanauzia Tanzania ni fake. Hii ni Marcopolo G7 ya aina gani Sasa? Face ni Marcopolo and the rest of the body ni Zhongton 😂😂😂

1699822401381.jpg
 
China anatengeneza chochote lakini mabasi wanauzia Tanzania ni fake. Hii ni Marcopolo G7 ya aina gani Sasa? Face ni Marcopolo and the rest of the body ni Zhongton 😂😂😂

View attachment 2812364
😅😅😅😅😅 leo nimecheka sana eti marcopolo fake aloooo🙌🙌🙌🙌🙌

View: https://twitter.com/SUPERFEOEXPRESS/status/1454114178629840898?t=NE8y_Dp1if1ZCW_VEKzXZw&s=19

View: https://twitter.com/Fundi_machejo/status/1723171491896824276?t=upAFAu3l-KM42nuDkBto6g&s=19
 
Ni vegezo ghan umetumia mpaka ukaja na conclusion kuwa hiyo sio genuine marcopolo?
Look at windows of all the Marcopolo G7 Viagio 1050 alafu ulingamishe ni hii Superfeo😂😅

1699822401381.jpg


Windows of original Marcopolo G7 Viagio 1050 looks like this.
1699820659502.jpg
 
Nacheka sana kuona hio body ilivo yani nyinyi ndio munatengeza original kuliko china leo nimecheka sana 😅😅😅😅😅
Usijali, Gemilang generation 2 is one of the classic bodies you will ever see. I can remember when Generation 1 was released almost all the big bus companies in Tanzania bought them from Mombasa. Inaonekana hii generation 2 bei iliwalemea kidogo😂😂😂

images - 2023-11-13T103111.823.jpeg
 
Mbona unaleta front view? I'm talking about the side windows 😂😂.

Compare and Contrast.

View attachment 2812378

View attachment 2812380
Yani ww ni vichekesho umesema body is marcopolo engine scania sasa ulitaka body ya china na south africa ziwe sawa ??

Wao wanatengesa body under marcopolo lecense na haziwez kua sawa unavotaka kwenye akili yako

Hii ni moja ya marcopolo from south africa
20231113_103346.jpg
 
Usijali, Gemilang generation 2 is one of the classic bodies you will ever see. I can remember when Generation 1 was released almost all the big bus companies in Tanzania bought them from Mombasa. Inaonekana hii generation 2 bei iliwalemea kidogo😂😂😂

View attachment 2812387
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom