Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa sijui shuleni kwao walikuwa wanajufunza nini, siwezi kuwalaumu. Hawajui kabisa chochote kuhusu Africa, dnio maana tunapata nao sana tabu kwa sababu ya elimu yao mbovu iliyojikita kwenye kuwapatia vyeti vya kuombea ajira.

hajui kuwa, China-Tanzania diplomatic relation ni somo huko China na Tanzania. Hajui kuwa, Tanzania ndio biggest China's ally in Africa. hajui kuwa, China ilikuwa masikini sana in 1960s na Vinchi vya Africa, ikiwamo Kenya hazikutaka kusikia chochote kuhusu China or any thing Chinese zikiwamo bidhaa zao zote.

Hajui kuwa, Tanzania ndio nchi ya kwanza na pekee Africa kuanzisha uhusiano wa kimataifa na China in 1960s, na hajui kuwa, mradi wa kwanza wa China kujenga nje ya China kwa nchi yeyote duniani haikuwa ASIA, South America or kokote bali Tanzania na ni TAZARA uliojengwa na kampuni ya KIchina "CCECC" na hajui kuwa hili ni somo kubwa huko China tena hasa sasa hivi ambapo wako vizuri.

Hajui kuwa, jeshi letu la maji lilijengwa na China na hajui kuwa baada ya kutusaidia kujenga jeshi la maji, pia China miaka hiyo alitupa Meli za kivita 13. hajui kila mwaka tunasheherekea pamoja uhusiano wetu wa kidiplomasia hapa Tanzania na in China pia.

The list is endless
What I understood from this excerpt is, Tanzania is the little beggar on the street that China drives by in his Range Rover everyday and throws him a few coins everyday so the little beggar grows to believe the man in the Range Rover is his friend. He thinks his children and the big man's children are friends. Ndio maana nawaambia Nyerere aliwalaani Na delusions kabla afe.
 
You're the typical difference between Kenyans and Tanzanians.
Ukimuona Samia ujue ni biashara ndio maana Ziara ya kwanza ya Samia alikuja Kenya kutatua mikwamo ya kibiashara nada mfupi baadae tukawapita.

Mimi sifuatagi Mkumbo wa wengi
20231026_031330.jpg
20231026_031342.jpg
20231026_031347.jpg
 
Hawa sijui shuleni kwao walikuwa wanajufunza nini, siwezi kuwalaumu. Hawajui kabisa chochote kuhusu Africa, dnio maana tunapata nao sana tabu kwa sababu ya elimu yao mbovu iliyojikita kwenye kuwapatia vyeti vya kuombea ajira.

hajui kuwa, China-Tanzania diplomatic relation ni somo huko China na Tanzania. Hajui kuwa, Tanzania ndio biggest China's ally in Africa. hajui kuwa, China ilikuwa masikini sana in 1960s na Vinchi vya Africa, ikiwamo Kenya hazikutaka kusikia chochote kuhusu China or any thing Chinese zikiwamo bidhaa zao zote.

Hajui kuwa, Tanzania ndio nchi ya kwanza na pekee Africa kuanzisha uhusiano wa kimataifa na China in 1960s, na hajui kuwa, mradi wa kwanza wa China kujenga nje ya China kwa nchi yeyote duniani haikuwa ASIA, South America or kokote bali Tanzania na ni TAZARA uliojengwa na kampuni ya KIchina "CCECC" na hajui kuwa hili ni somo kubwa huko China tena hasa sasa hivi ambapo wako vizuri.

Hajui kuwa, jeshi letu la maji lilijengwa na China na hajui kuwa baada ya kutusaidia kujenga jeshi la maji, pia China miaka hiyo alitupa Meli za kivita 13. hajui kila mwaka tunasheherekea pamoja uhusiano wetu wa kidiplomasia hapa Tanzania na in China pia.

The list is endless
Hajui pia China na Tanzania wana kampuni ya meli SINOTASHIP, viwanda vya nguo Urafiki textiles etc
 
Ni mengi sana wamefanya kwa Tanzania kuliko nchi yeyote. Nchi zote za Africa hazikutaka kusikia kuhusu China, wengi wao walijikita USA na western countries. Sisi ndio tulio kuwa tukitumia bidhaa zao za Kichina zilizokuwa zikizarauliwa ulimwenguni.

Sisi ndio tulikuwa tukizipaisha bidhaa za China kama silaha zao kwenye vita vingi hapa Africa na hivyo kuleta imani ya bidhaa zao baada ya ushindi wa vita nyingi. Wao ndio wameinstall makombora makubwa huko baharini miaka ya 1960 na kujenga karakana kubwa. mambo ni mengi mwana.
Tanzania ndio nchi iliyokuwa mstari wa mbele Africa kupigania China admission kwenye UN security Council wengine wote walikuwa wanaogopa western masters wao wakakaa kimya.
 
Back
Top Bottom