Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,905
- 9,730
Cope harderAmeileta mbio alidhani ni terminal 3. 😂😂😂
Cope harderAmeileta mbio alidhani ni terminal 3. 😂😂😂
Keep crying.Cope harder
Young africans
Panga boys!7. Militrary: kawaulize child soldiers wa DRC, panga boys.., kwa sasa ata Rwanda na Uganda hamuwawezi.., tulia kwa kelele za Simba na Yanga, mengine ambayo hauwelewi koma..,
Kama hutaki kunya boga 🤣🤣🤣🤣Kafie mbali
Basi baba ametiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Young africans
View attachment 2792936View attachment 2792937
Simba sport club
View attachment 2792942View attachment 2792943View attachment 2792944
Azam FC
View attachment 2792949View attachment 2792948View attachment 2792950View attachment 2792951
Singida fountain gate
View attachment 2792952View attachment 2792953
View attachment 2792966
Namungo FC
View attachment 2792957
View attachment 2792960
Ihefu FC
View attachment 2792959View attachment 2792958
Mbeya city
View attachment 2792962View attachment 2792963
KMC FC
View attachment 2792967
Geita gold FC
View attachment 2792970View attachment 2792969View attachment 2792971View attachment 2792972
Kagera sugar FC
View attachment 2792975View attachment 2792976
Mtibwa sugar FC
View attachment 2792977View attachment 2792978
Dodoma jiji FC
View attachment 2792980View attachment 2792981
Vipi niendeleee au ???🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Akiongelea tena munishtue 😅😅😅Basi baba ametiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwenye soka nilishawaambia hatushindani na yeyote yule EA.Young africans
View attachment 2792936View attachment 2792937
Simba sport club
View attachment 2792942View attachment 2792943View attachment 2792944
Azam FC
View attachment 2792949View attachment 2792948View attachment 2792950View attachment 2792951
Singida fountain gate
View attachment 2792952View attachment 2792953
View attachment 2792966
Namungo FC
View attachment 2792957
View attachment 2792960
Ihefu FC
View attachment 2792959View attachment 2792958
Mbeya city
View attachment 2792962View attachment 2792963
KMC FC
View attachment 2792967
Geita gold FC
View attachment 2792970View attachment 2792969View attachment 2792971View attachment 2792972
Kagera sugar FC
View attachment 2792975View attachment 2792976
Mtibwa sugar FC
View attachment 2792977View attachment 2792978
Dodoma jiji FC
View attachment 2792980View attachment 2792981
Vipi niendeleee au ???🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hawa nyang'au bado ni washamba sana😁Where is the plate number na mbele naiona ile ferari ya italy au sio yenyewe??🤣🤣🤣🤣 jifanye kukataa tu
View attachment 2792928View attachment 2792929
We kima ukibisha bisha kwa hoja.. China amekua mwenetu way back. 👇View attachment 2792397..
Eti Bega kwa Bega.😂😂😂 Watanzania mnakuwanga delusional Sana. Hivi unadhani hata Mchina wa kawaida anaijua Tanzania?😂😂😂
Aise inatosha. Umeua nzi kwa nyundo. Akishindwa kuelewa hapo ndio basi tena.Hawa sijui shuleni kwao walikuwa wanajufunza nini, siwezi kuwalaumu. Hawajui kabisa chochote kuhusu Africa, dnio maana tunapata nao sana tabu kwa sababu ya elimu yao mbovu iliyojikita kwenye kuwapatia vyeti vya kuombea ajira.
hajui kuwa, China-Tanzania diplomatic relation ni somo huko China na Tanzania. Hajui kuwa, Tanzania ndio biggest China's ally in Africa. hajui kuwa, China ilikuwa masikini sana in 1960s na Vinchi vya Africa, ikiwamo Kenya hazikutaka kusikia chochote kuhusu China or any thing Chinese zikiwamo bidhaa zao zote.
Hajui kuwa, Tanzania ndio nchi ya kwanza na pekee kuanzisha uhusiano wa kimataifa na China in 1960s, na hajui kuwa, mradi wa kwanza wa China kujenga nje ya China kwa nchi yeyote duniani haikuwa ASIA, South America or kokote bali Tanzania na ni TAZARA uliojengwa na kampuni ya KIchina "CCECC" na hajui kuwa hili ni somo kubwa huko China tena hasa sasa hivi ambapo wako vizuri.
Hajui kuwa, jeshi letu la maji lilijengwa na China na hajui kuwa baada ya kutusaidia kujenga jeshi la maji, pia China miaka hiyo alitupa Meli za kivita 13. hajui kila mwaka tunasheherekea pamoja uhusiano wetu wa kidiplomasia hapa Tanzania na in China pia?
The list is endless
Ni mengi sana wamefanya kwa Tanzania kuliko nchi yeyote. Nchi zote za Africa hazikutaka kusikia kuhusu China, wengi wao walijikita USA na western countries. Sisi ndio tulio kuwa tukitumia bidhaa zao za Kichina zilizokuwa zikizarauliwa ulimwenguni.Aise inatosha. Umeua nzi kwa nyundo. Akishindwa kuelewa hapo ndio basi tena.
Acha ufala wewe,Rais Wetu akisafiri automatically utamkuta kwenye majukwaa ya biashara na mikataba na sio vinginevyo.Huu upuzi alikuwa nao Uhuru tena Ruto naona anao. Kibaki hakuwa na huu upuzi wa kuzururazurura. Ila nanyi mibongolala hapo kwenu mnaye mtalii yet badala ya media zenu kumzomea zinamsifusifu eti ooh anaimarisha tourism mara analeta investments blah blah.
Kwenye soka nilishawaambia hatushindani na yeyote yule EA.
Acha ufala wewe,Rais Wetu akisafiri automatically utamkuta kwenye majukwaa ya biashara na mikataba na sio vinginevyo.
View: https://twitter.com/mamanafanikisha/status/1717186187889127533?t=yAcE1G_tNGPBa6F49fi2QA&s=19
Samia Huwa hafanyi ziara za kisengerema kama Za Ruto
Hii Kasesya Zombie ni boder post upande wa Rukwa na tayari Kuna Barabara ya lami inajengwa huko
View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1717194731317301580?t=-rXhfWN_s6p-XKtuVIZ-UA&s=19