Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,520
- 5,872
Kumbuka hii hapa ni slum sijui mathare na mukuru watapaitaje🤓🤓🤓🤓Dah hayo mazingira hadi kichefuchefu pindipindu litaondoka kweli mji huu.
Kumbuka hii hapa ni slum sijui mathare na mukuru watapaitaje🤓🤓🤓🤓Dah hayo mazingira hadi kichefuchefu pindipindu litaondoka kweli mji huu.
KO ya ukweli hiiNasikia njaa imewafanya mbuni ugali wa nyasi,hapo ushakula ugali wa nyasi umekutoa akili unaongea ujinga
Sawa mzee wa Rock City, endelea kutuonesha Kenya they won’t show you on Social Media😅😅Mkuu sema time kidogo ila nawapa ahadi nita twanga mafoto nyie muone na ahadi ya the The best 007 kuwa picha utazipata 😄😄😄😄😄
Ingekuwa Gormahia wangefanywaje kama simba ni hivyo 🤦♀️Wazee wa uwanja mmoja washa tombw.aView attachment 2791524
Wakunya wanabembeleza Mwarabu 😂😂
View: https://twitter.com/BD_Africa/status/1717048258269261943?t=Qdm6JX5bumUzPTBZfmt5XQ&s=19
Eti Bega kwa Bega.😂😂😂 Watanzania mnakuwanga delusional Sana. Hivi unadhani hata Mchina wa kawaida anaijua Tanzania?😂😂😂unatulazimisha tuwe na marafiki wa kibepari wakati wajamaa wenzetu tulikuwa nao toka kitambo bega kwa bega acha tuwaungishe standard zao zimekuwa well huyo mmarekani tuu kaenda kjifunza namna ev zinavyozalishwa kwa wingi.
njoo huku kariakoo uone tunavyoishi nao wapo kibao hata huko china tushawafunza kiswahili yukienda kujumua mali.Eti Bega kwa Bega.😂😂😂 Watanzania mnakuwanga delusional Sana. Hivi unadhani hata Mchina wa kawaida anaijua Tanzania?😂😂😂
We kima ukibisha bisha kwa hoja.. China amekua mwenetu way back. 👇Eti Bega kwa Bega.😂😂😂 Watanzania mnakuwanga delusional Sana. Hivi unadhani hata Mchina wa kawaida anaijua Tanzania?😂😂😂
Kwnn asiijue wakati anaisoma darasani, mchina wa kawaida anaweza asiijue Kenya lkn sio Tanzania, ipo kwenye historia yao kule na pia kiswahili kimeenea sana china, watoto wanajifunza na wanaambiwa kinatokea Tanzania.Eti Bega kwa Bega.😂😂😂 Watanzania mnakuwanga delusional Sana. Hivi unadhani hata Mchina wa kawaida anaijua Tanzania?😂😂😂
Naona munampelekea moto zwazwa🤣🤣We kima ukibisha bisha kwa hoja.. China amekua mwenetu way back. 👇View attachment 2792397..
Yani wanalisha JIDIPII ugali wa nyasi????? 🤣🤣🤣🤣Naona siku hizi wakenya wanakula Ugali wa Nyasi. Hatari.
Na bado wako na mishipa
Huyo nyang'au NairobiWalker alikuwa bado hajazaliwa.😁😁We kima ukibisha bisha kwa hoja.. China amekua mwenetu way back. 👇View attachment 2792397..
Wachana na hao wanaoishi huko ni interns Na prisoners wameletwa rehabilitation, Mchina wa kawaida hajui Tanzania ni nini.njoo huku kariakoo uone tunavyoishi nao wapo kibao hata huko china tushawafunza kiswahili yukienda kujumua mali.
Mtu akikupea msahada Sasa anakuwa mwenzako?😂😂 Kwao nyinyi ni ombaomba tu kama hawa mliotujazia mijini.😂😂We kima ukibisha bisha kwa hoja.. China amekua mwenetu way back. 👇View attachment 2792397..
Mkunya mmejaaliwa mioyo ya kibri na dharauEti Bega kwa Bega.😂😂😂 Watanzania mnakuwanga delusional Sana. Hivi unadhani hata Mchina wa kawaida anaijua Tanzania?😂😂😂
More tears and benchmarking
View: https://twitter.com/KemoliSagala/status/1717146870269579422?t=SN2Gd9_0wB_NdoC4SjIgjw&s=19