Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,711
That's an ambulance bongolalaHii Matatu inafanya nini hapa??
View attachment 2792764
That's an ambulance bongolalaHii Matatu inafanya nini hapa??
View attachment 2792764
I think SA has larger malls than Two Rivers. But I am happy Kenya comes second after SA in Sub-Saharan Africa in mall spaces2 largest Mall in Africa
View attachment 2792689
Aaah kumbe ulikua dao cheng 😃Mimi huyo jiji la Qingdao. Usidhani wakenya malengelenge kama Wabongo.
View attachment 2792731
View attachment 2792730
Hivi mathari mental mnaruhusiwa kutumia simu?Uwezo gani wakati jii lenu ni uswazi kushoto kulia
Wakenya tuna roho nzuri sana ndio maana unaishi vizuri Nairobi. Nina uhakika hujawai bata shida yoyote au ubaguzi wowote kisa wewe ni Mtanzania.+ Mkenya akija huko bongo anachukuliwa vibaya sana. Mwanzo mimi huwa sitaki kabisa kuingia Tanzania na gari lenye registration ya Kenya. Sijui Nyerere aliwaambia nini nyinyi watu, mna chuki dhidi yetu sana. Ukiangalia hizi banter za mtandaoni Wakenya tunazichukulia tu kama banter ila Wabongo ni kama mnazichukulia serious sana hadi unapata wabongo wapo huku Nairobi eti huyu anamuita yule aje amface, eti mara anapiga picha za sehemu maskini kusambaza mitandaoni. You guys need to loosen up a bit. Hehehe. 😂 😂 😂Aaah kumbe ulikua dao cheng 😃
Ungekua umefika far hongkong ,Beijing,Shanghai in this cities Tanzania we are well presented sababu za biashara tungeongea lugha moja.ila nakupa hongera ulijitoa tongo tongo Tanzania hatunaga roho za husda kama nyie 😀
Tulisema jamaa mlete any other functioning Stadium in the whole of Tanganyika aside Mkapa. Mkashindwa sasa mihemko ya nini!?Hii Matatu inafanya nini hapa??
View attachment 2792764
Utaitishwa number plate sahii tu.😂Now this time Lamborghini Urus 2023 in Nairobi
View attachment 2792800
Wabongo tuna roho nzuri na tena ya huruma ndo maana tukampa na tanasha mbegu yetu😃😃Wakenya tuna roho nzuri sana ndio maana unaishi vizuri Nairobi. Nina uhakika hujawai bata shida yoyote au ubaguzi wowote kisa wewe ni Mtanzania.+ Mkenya akija huko bongo anachukuliwa vibaya sana. Mwanzo mimi huwa sitaki kabisa kuingia Tanzania na gari lenye registration ya Kenya. Sijui Nyerere aliwaambia nini nyinyi watu, mna chuki dhidi yetu sana. Ukiangalia hizi banter za mtandaoni Wakenya tunazichukulia tu kama banter ila Wabongo ni kama mnazichukulia serious sana hadi unapata wabongo wapo huku Nairobi eti huyu anamuita yule aje amface, eti mara anapiga picha za sehemu maskini kusambaza mitandaoni. You guys need to loosen up a bit. Hehehe. 😂 😂 😂
Anyway, ukienda major cosmopolitan cities in the world zote utapata nationalities wa nchi zote ulimwenguni. Hii haimaanishi nchi yenu inatambulika huko kivile. Kiukweli Afrika tuko nyuma sana. China ikifanya biashara haifanyi na Tanzania bali na Afrika. Utapata kanchi kadogo ka ulaya kama UK kamewaita viongozi 54 wa Afrika eti kujadili trade hadi unashangaa nini mbaya na sisi. Hizi nchi kwa wingi wanatambua Afrika kama tu nchi moja maskini. Labda utapata mmoja mmoja mwenye knowledge ya kujitaftia ila ukisema eti mpo na China bega kwa bega that's quite delusional.
Mbona hizo tabia mbovu Waganda hawazioni, warundi hawazioni, Warwanda hawazioni Ni nyinyi tu? Hii comment ni proof kuwa nilichosema ni ukweli. Mna roho mbaya sana.Wabongo tuna roho nzuri na tena ya huruma ndo maana tukampa na tanasha mbegu yetu😃😃
Kuhusu nyinyi kuface backlash bongo ni sababu ya tabia zenu asilimia kubwa wanao kuja bongo wanakua na tabia za kiuni janja janja kila corner ,sio Tanzania tu ukienda chigali,kampala , Bujumbura uvira na goma picture ni Hiyo nyie ndio mlio jiaribia tambua hilo.