Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Golden dragon tupu na yutong!!!
Fake things.
Iyo irizar ndio bus pekee hapo.
Na hiii kwenu munaitaje 🤣🤣👇👇
Thamani ya bus hili ni sawa na thamani ya team zote kenya, uganda, rwanda and burundi combined
images - 2023-10-25T230619.930.jpeg
images - 2023-10-25T230635.964.jpeg
images - 2023-10-25T230643.774.jpeg
 
Huyu nae anajulikana kwa uropokaji aliropoka ahadi kwa simba akauza mechi huyu, muhindi sio mtu wa kumuamini kwenye maneno 😅😅😅😅😅
Hajaropoka huu ndio ukweli, Mwendazake alifukuza Wahindi waliokuwa wananunua mbaazi mambo yakaharibika.
 
Hajaropoka huu ndio ukweli, Mwendazake alifukuza Wahindi waliokuwa wananunua mbaazi mambo yakaharibika.
Alimfukuza nani, siku zote ukibana ulaji na magumashi hakuna mtu atakupenda hata ww mwenyewe kuna sehem kipumulio chako kilibabwa ukawa unatapika muda wote humu ndani umesahau??🤣🤣🤣🤣

Mtoto wake aliahidi billion 20 mpaka kiyama kitafika hzo hela hazijawah toka kiongozi wa simba ukihoji kesho huna kazi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hapo ndio Huwa mnafichia udhaifu na Kushindwa kwenu 🤣🤣

Ulaji upi? Manji na Washirika wake walikuwa wanakula nini huko?

Unamkomoaje manji at the expense of millionsnof farmers? Akili au matope?
 
Back
Top Bottom