Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Deni la taifaa la paa, kila mitanzania ina deni la 1.7m
IMG_20231025_220329.jpg
 
Mbona hizo tabia mbovu Waganda hawazioni, warundi hawazioni, Warwanda hawazioni Ni nyinyi tu? Hii comment ni proof kuwa nilichosema ni ukweli. Mna roho mbaya sana.
Sasa unataka kulinganisha mtz na mkenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Dunia nzima inajua nyinyi hamna maadili mema, thus y mna ukabila, mnauana, ni wachafu.
 
Tulisema jamaa mlete any other functioning Stadium in the whole of Tanganyika aside Mkapa. Mkashindwa sasa mihemko ya nini!?
View attachment 2792786
View attachment 2792785
Stadium yenyewe ndio hii watu wanakalia zege 2023 aloo dunia haitasimamisha maajabu ndio maana hamutapata approval ya CAF wala FIFA mpaka dunia itasimama 🤣🤣🤣🤣 juuu mabati chini zege🙌🙌🙌🙌
images - 2023-10-25T224615.236.jpeg
 
Back
Top Bottom