Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

2 largest Mall in Africa
img_6_1698206973194.jpg
 
Ni muda mrefu sana sijapita humu!!
wacha nianze na kujibu huyu zwazwa..,
1. Public transport sio wingi wa mabasi kilaza.., infrastructure hampo.., kipande kidogo cha BRT pale Dar ukilinganisha na ukubwa sio sufficient, haitoshi, mnarundikwa ndani kama makondoo kila jioni kwa vile ni duni.., hapa unajitekenya., Dar bado, BRT isikudanganye.., eti infrastructure, train coverage iko vipi? expressway je? Superhighway? bypasses? ring roads? boss amka 😂 😂 😂 😂 😂 😂

2. Sports: medali ngapi wana spoti wenu wameletea Tanzania? na kuna watanzania wangapi kwa hizi sports?: kwa mfano Rugby? Athletics? Valleyball?, Football?(mnafanyaje kule nje?) Tennis je? Hockey? Cricket? Motor Sport?.., mbwembwe za Simba na Yanga na stadium moja ya maana taifa nzima zimekudanganya unadhani mko na sports, idiot😂😂😂😂😂😂😂..,
3. Food, Agriculture and delivery.., yaani mahindi kwa wingi ndio food?.., nyie ni watu wa mihogo na maharage kule vijijini, utapia mlo ndio wimbo.., tusipo nunua ufukara unasambaa zaidi vijijini.., boss danganya wasio ijua Tanzania.., leo hii Kenya imevuna kwa wingi sijui mtauza mazao yenu wapi, more ufukara loading😂😂😂😂😂😂😂😂, Agriculture isio na faida kwa taifa, ni cartels na wakenya wajanja wanafaidika kuliko mkulima wa Tanzania, watu hovyo nyie😂😂😂😂😂

4. Women, night life: hao washamba on average ndio unasema women?.., night life ipi? uliza wageni wanao fanya utalii kwa hizi nchi mbili utapata jibu.., ata Uganda imewashinda.., pengine mjikaze kwa utalii, hapo kidogo mnajaribu.,

5. Health and Delivery.., hapa hauhitaji nabii akwambie, Magufuli alikufia Kenya., period., viongozi wenu na matajiri wanatafuta matibabu ya hali ya juu Nairobi.., muhimbili ni ya panadol na family planning services.., nyambaff😂😂😂😂
6. Tourism: Kidogo mnajaribu...,

7. Militrary: kawaulize child soldiers wa DRC, panga boys.., kwa sasa ata Rwanda na Uganda hamuwawezi.., tulia kwa kelele za Simba na Yanga, mengine ambayo hauwelewi koma..,

taja mengine tuone...,
Ni salamu tu sina ubaya, mda mrefu, uhali gani?

Unajihangaisha bure kujitetea, ila sasa Elika kitu ni bayana , hapo kwa public transport ona wenzako wanavyonena kwa Lugha

View: https://x.com/maliks_88/status/1716316061530747274?s=46&t=13nU45_Q7ipNzgLj4QuH9A
 
Oooh we are leading on ICT in the entire region sijui nyenyenye kumbe ushuzi tu……..VIBERA bhana😂😂😂

Asee...
Ama kweli hawa majamaa wamezidi tu kwenye kuongea uongo kwa kiingereza kwenye dunia/media za wazungu..
ila kiuhalisia kenya wako nyuma sana kama South Sudan

Ndio Rais wao alikua juzi China kuzungusha bakuli Huawei wawatengenezee their first ever e-government wakati Tanzania ni kitu kina umri wa mtu mzima 😂😂😂

View: https://twitter.com/NationAfrica/status/1714725536713572456?t=IMFv-WUO96U4pcQgwrw9AA&s=19

View: https://twitter.com/Wesley_Kibande/status/1716843836524105819?t=SUM2ShjwOChlmIlNbXsy7g&s=19
 
Sina uhakika kama ishu ni pesa au urasimu au Kuna mengineView attachment 2791898
Kwahiyo, kichwa chako kinakuambia kabisa kuwa in 2032 tutapata trillion 26 kutokana na uwekezaji wa DP World wa $250 Million in five years?

Mapato na meli kuongezeka inatokana na uwekezaji mkubwa uliofanya na magufuli hapo pamoja na SGR.
 
Back
Top Bottom