Ubaya wenu ni kama nyote mlirogwa kuwa wajinga. Kuwa na Rafiki Mchina, Mzungu, Mwarabu, Mmarekani n.k ni kitu cha kawaida Sana. Hilo halimaanishi nchi yako inatambulika kwa nchi ya huyo Rafiki wako. Huku kunao watu wa nchi tofauti wachina Wajapani Wazungu na wanakiongea Kiswahili na lugha nyinginezo za hapa Kenya. Yani Mchina aache Marekani, Japan, Germany, Australia n.k ajisumbue Na nchi ambayo GDP yake inatoshana na kimji kidogo Tena kisichojulikana.😂😂
Hizi delusions zenu ni kama Nyerere aliwarogea kabla afe.😂😂