Ndio hii tunasemaga kila siku, NI SYSTEM, sio kama vitu vipo tu kimchongo mchongo, Watanzania wanapenda mpira, wana team, wana viwanja, na wana hela wamewekeza kwenye mpira, kwa hiyo kila kitu kinajipa kinakuwa mahala pake kwa kuwa kimekua arranged vizuri, angalia Tickets zinakua sold out, kama BRT vile vile ni system, kuna infrastructure, kuna Buses, Kuna investment , Huwezi kuwa na kimoja tu ukasema na wewe una BRT, Namaanisha huwezi kuwa na hela ya chaki tu ukachora barabarani BRT ONLY basi na wewe ukawa sawa na mwenye BRT 🤣🤣🤣🤣