Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu uwanja wa wazungu hawa, pale pembeni wanaweza lima mazao ya chakula na biashara pia wanaweza fuga mifugo aina yote 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
This is Bukhungu stadium and it was hosting high school games. It's still under construction and those mabati are hoarding for the construction. You guys are really obsessed with Kenya it's hilarious.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Bahati nzuri wameanza kugundua, Ukiona mtu uliyedhani umemzidi anakupumulia kisogoni ujue umekwisha. Siku hizi kwenye social media wanapewa makavu na wabongo live bila chenga.
Wabongo wameamka sasa,tena kuna vijana wa ovyo wa kibongo wanawafuata huko huko kwao kunyalazy 😂
 
Attachments

  • a7b4f3e68542dd4bf6c82942525a6aa4.mp4
    15.6 MB
Allow me to remind these Kundustans on this,
Kama kuna maeneo hamtakiwi kujichanganya kwa TZ ni
1. Public transport and its infrastructure
2. Sports and entertainment, michezo kama Mlira wa miguu, ndondi nk
3. Food, Agriculture, Nutition
4. Women, Night life,
5. Healthy service and delivery
6 . Tourism
7. Military
8. And many more

Mjikite kwenye English Langage, gdp nk. Hapa ndio you are ahead of Tanzania.

This I tell you, you will never win this.
Ni muda mrefu sana sijapita humu!!
wacha nianze na kujibu huyu zwazwa..,
1. Public transport sio wingi wa mabasi kilaza.., infrastructure hampo.., kipande kidogo cha BRT pale Dar ukilinganisha na ukubwa sio sufficient, haitoshi, mnarundikwa ndani kama makondoo kila jioni kwa vile ni duni.., hapa unajitekenya., Dar bado, BRT isikudanganye.., eti infrastructure, train coverage iko vipi? expressway je? Superhighway? bypasses? ring roads? boss amka 😂 😂 😂 😂 😂 😂

2. Sports: medali ngapi wana spoti wenu wameletea Tanzania? na kuna watanzania wangapi kwa hizi sports?: kwa mfano Rugby? Athletics? Valleyball?, Football?(mnafanyaje kule nje?) Tennis je? Hockey? Cricket? Motor Sport?.., mbwembwe za Simba na Yanga na stadium moja ya maana taifa nzima zimekudanganya unadhani mko na sports, idiot😂😂😂😂😂😂😂..,
3. Food, Agriculture and delivery.., yaani mahindi kwa wingi ndio food?.., nyie ni watu wa mihogo na maharage kule vijijini, utapia mlo ndio wimbo.., tusipo nunua ufukara unasambaa zaidi vijijini.., boss danganya wasio ijua Tanzania.., leo hii Kenya imevuna kwa wingi sijui mtauza mazao yenu wapi, more ufukara loading😂😂😂😂😂😂😂😂, Agriculture isio na faida kwa taifa, ni cartels na wakenya wajanja wanafaidika kuliko mkulima wa Tanzania, watu hovyo nyie😂😂😂😂😂

4. Women, night life: hao washamba on average ndio unasema women?.., night life ipi? uliza wageni wanao fanya utalii kwa hizi nchi mbili utapata jibu.., ata Uganda imewashinda.., pengine mjikaze kwa utalii, hapo kidogo mnajaribu.,

5. Health and Delivery.., hapa hauhitaji nabii akwambie, Magufuli alikufia Kenya., period., viongozi wenu na matajiri wanatafuta matibabu ya hali ya juu Nairobi.., muhimbili ni ya panadol na family planning services.., nyambaff😂😂😂😂
6. Tourism: Kidogo mnajaribu...,

7. Militrary: kawaulize child soldiers wa DRC, panga boys.., kwa sasa ata Rwanda na Uganda hamuwawezi.., tulia kwa kelele za Simba na Yanga, mengine ambayo hauwelewi koma..,

taja mengine tuone...,
Ni salamu tu sina ubaya, mda mrefu, uhali gani?
 
Wapi SGR ya UMEME Dar to Moro? .., imeanza kazi? nimengoja tag lakini wapi? Sama boy 255 kulikoni? The best 007 vipi?.., 2023 ndio hii inaisha! bado hamjawai kupanda an SGR train!.., tokea April 2017 hadi wa leo!!! 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Ni muda mrefu sana sijapita humu!!
wacha nianze na kujibu huyu zwazwa..,
1. Public transport sio wingi wa mabasi kilaza.., infrastructure hampo.., kipande kidogo cha BRT pale Dar ukilinganisha na ukubwa sio sufficient, haitoshi, mnarundikwa ndani kama makondoo kila jioni kwa vile ni duni.., hapa unajitekenya., Dar bado, BRT isikudanganye.., eti infrastructure 😂 😂 😂 😂 😂 😂

2. Sports: medali ngapi wana spoti wenu wameletea Tanzania? na kuna watanzania wangapi kwa hizi sports?: kwa mfano Rugby? Athletics? Valleyball?, Football?(mnafanyaje kule nje?) Tennis je? Hockey? Cricket? Motor Sport?.., mbwembwe za Simba na Yanga na stadium moja ya maana taifa nzima zimekudanganya unadhani mko na sports, idiot😂😂😂😂😂😂😂..,
3. Food, Agriculture and delivery.., yaani mahindi kwa wingi ndio food?.., nyie ni watu wa mihogo na maharage kule vijijini, utapia mlo ndio wimbo.., tusipo nunua ufukara unasambaa zaidi vijijini.., boss danganya wasio ijua Tanzania.., leo hii Kenya imevuna kwa wingi sijui mtauza mazao yenu wapi, more ufukara loading😂😂😂😂😂😂😂😂, Agriculture isio na faida kwa taifa, ni cartels na wakenya wajanja wanafaidika kuliko mkulima wa Tanzania, watu hovyo nyie😂😂😂😂😂

4. Women, night life: hao washamba on average ndio unasema women?.., night life ipi? uliza wageni wanao fanya utalii kwa hizi nchi mbili utapata jibu.., ata Uganda imewashinda.., pengine mjikaze kwa utalii, hapo kidogo mnajaribu.,

5. Health and Delivery.., hapa hauhitaji nabii akwambie, Magufuli alikufia Kenya., period., viongozi wenu na matajiri wanatafuta matibabu ya hali ya juu Nairobi.., muhimbili ni ya panadol na family planning services.., nyambaff😂😂😂😂
6. Tourism: Kidogo mnajaribu...,

7. Militrary: kawaulize child soldiers wa DRC, panga boys.., kwa sasa ata Rwanda na Uganda hamuwawezi.., tulia kwa kelele za Simba na Yanga, mengine ambayo hauwelewi koma..,

taja mengine tuone...,
Ni salamu tu sina ubaya, mda mrefu, uhali gani?
Kwa ulichokiandika hapa ni bora ndugu zako wakurudishe tu mathare mental institute ukaendelee na dawa zako za uchizi
 
Kwa ulichokiandika hapa ni bora ndugu zako wakurudishe tu mathare mental institute ukaendelee na dawa dawa zako za uchizi
Ukweli huwa haikai vizuri ndani mwenu, nimewajua tokea zamani, ugua pole pole kama hauna jibu mwafaka..,
 
Wapi trains? mizigo bado ijabeba tokea ianze kujengwa April 2017 hadi waleo? miaka sita kipande kidogo bado!!!!..., ufukara haufichiki bana.., nimesikia pia mkandarasi anawasaidia kutafuta hela pia na yeye kafilisika..,
mnatembeza bakuli kwa pamoja kule Europe.., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
1698160849345.png

1698160929619.png
 
Wabongo wameamka sasa,tena kuna vijana wa ovyo wa kibongi wanawafuata huko huko kwao kunyalazy 😂
Onyesha stadium kama hiyo Mwanza tu ama Arusha.., yaani stadium ya County ya Kakamega ambayo iko under construction hamna kwenye vijiji vyenu mnazo zitaja eti ni city.., kama iko onyesha tuone..,
uwanja bado uko under construction by a county government, sio serikali kuu, county!, ili host inter school National football games..,
Watu wa City moja yenye CBD moja na Stadium moja hawaniambii kitu humu.., 😂 😂 😂 😂 😂 😂
1698161752275.png

1698161790760.png

1698161765048.png

1698161775138.png

Yaani uwanja bado unajengwa na mshaanza kulia lia., 😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom